Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,123
- 4,577
Tangia 2017 nilianza kupitia hali ya ukumbusho wa mara kwa mara ili nizione namba 1111 pale zinapokuwa zimetokea au kuwako sehemu. Sio asubuhi, mchana au usiku. Mara nyingi nimekuwa nikiziona katika saa yangu ya mkono, PC au simu (11:11). Sio ishu ya kuangalia muda wakati wote, yani najikuta inanipata hali inayonifanya kuangalia sehemu au simu na kukutana na hizo namba.
Mara nyingi nilichukulia poa hadi ilipofika mwaka huu, nilipoamua kufanya research kwa nini naona hizi namba mara kwa mara.
●Wataalamu wa saikolojia wana claim ni hali tu ya kiakili inayokukumbusha uangalie hiyo namba either kwenye saa kwa sababu kuna jambo la ukumbusho liliwahi kutokea muda huo or katika sehemu yenye namba kama hiyo.
●Watalaamu wa namba (numerologist) wana sema ukiwa unaona hizo namba mara kwa mara ni ukumbusho kuwa unalindwa or guided na presence ya kiroho kati yako.
●Watalaamu wengine wanasema ukiona hizo namba mara kwa mara ni kukumbusha na kualert kuwa uchukue hatua ili ujijenge kiroho, kimwili na kiakili ili ujikinge na madhara na changamoto tofauti zinazokuja.
●Watalaamu wengine wanasema ni nguvu yako ya kiroho inakuonesha opportunity/fursa ya wewe kukuwa kiakili, uwezo wa fikra, uponyaji na upendo na kupanda ngazi za juu za kiroho na kukuonesha upo katika njia sahihi kwa ajili ya mafanikio yako.
●Wengine wanasema ni sign ya presence ya malaika wako inapokuwa nawe, kukulinda na kukuogoza.
Je na wewe umekuwa na hali ya kuona hizo namba au nyingine za kujirudia rudia mara nyingi?
For whatever reason why i am seeing these numbers often, i pray and hope it is of good terms.