Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kuna tabia au hulka ambazo binadamu huzaliwa nazo na kuna zile ambazo mtu anazipata anapochangamana na watu mballimbali katika mazingira aliyopo. Ukiachilia mbali tabia ya kutopenda kulaumiwa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni kujuzwa nimeona Kwenye rank za usalama wa taifa duniani ya ya Pakistan inaonekana iko juu nafasi ya kwanza ikifuatiwa na CIA ya Marekani. Leo ninataka kujua 'rank' ya ubora wa hivi...
3 Reactions
60 Replies
14K Views
imekuaje hadi nikajiuliza hilo swali? story yenyewe iko hivi. nina rafiki yangu wa kike,siku za hivi karibuni yapata kama mwezi sasa,mara kwa mara na humtokea baada ya kutoka kusali tu,anajikuta...
5 Reactions
227 Replies
36K Views
Barrack Obama aliwaita mkurugenzi mkuu wa CIA Leon Paneta pamoja na majenerali kadhaa wa jeshi la Marekani siku chache baada ya CIA kumtaarifu Rais Obama kuwa ,tayari maficho ya Osama waliweza...
13 Reactions
39 Replies
8K Views
Wiki kadhaa baada ya tukio hilo, wavamizi hao wa ofisi ya kamati ya uchaguzi ya chama cha democratic Horward Hunt alimpatia Barker film ili wazisafishe na wazikuze picha zake.Mwanzoni Barker...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nimesoma vimakala vifupifupi kuhusu huyu mtu, sio siri vimenichanganya. Aliyemsoma kiundani naomba ufafanuzi tafadhali, maana amegusa imani, yani hatari...! Natanguliza shukran.
4 Reactions
471 Replies
74K Views
Nianze kwa kusema hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye hili jukwaa la wana intelligence.Ila ningependa kushare na ninyi kuhusiana na mission impossible ya Watergate scandal. Kutokana na...
15 Reactions
44 Replies
11K Views
After the fall of socialism/communism, most countries have subscribed to capitalism/free market in other words. It is not such pure capitalism but it can be seen that, capitalism is more...
1 Reactions
0 Replies
768 Views
PA Image caption Wachunguzi waliondoa gari hili kutoka kwa kijiji karibu na Salisbury Jumatatu Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May Jumatatu alisema jasusi wa zamani wa Urusi na binti yake...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Macho kukosa uono anaona giza 2.Ubongo kuchanganyikiwa kwa hofu na kukosa oxygen 3.Moyo kusimama kabisa (hapa pana maumivu Makali mno) 4.Pumzi kukata kabisa hapa ndio mtu anatapatapa au...
22 Reactions
224 Replies
35K Views
Ni one of the short docuseries on Netflix sasa hivi, imeanza kuruka nadhani last week, Nimekuwaga nikisoma habari za Majasusi wa Mossad, na namna ambavyo Mossad ni moja ya Intelligence Unit...
19 Reactions
36 Replies
11K Views
Tunapozungumzia idara ya Usalama wa Taifa na jinsi imeiangusha serikali yetu na kuweka usalama wa taifa letu hatarini nafasi ya Bw ...haiwezi kupuuzws Baadhi ya matukio yaliyotokea na kuruhusu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa ni wageni kutoka kanda kavu juu ya anga,wenye mahusiano mazuri na clone yao ya bustani tengwa(kipande ardhi/dunia)...ni warefu wenye na ngozi yenye weupe mithili ya chaki,wakati macho yao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Naomba kufahamu hili, kutokana na maumbile ya binadamu. Kuna wengine wamezaliwa kuwa na vichwa kikubwa na wengine wana vichwa vidogo. Katika maumbile haya, je kuna uhusiano...
1 Reactions
66 Replies
20K Views
Shakil Afridi: Daktari aliyeisaidia CIA kumpata Bin Laden Haki miliki ya pichaAFPImage captionDkt Afridi amekana mashtaka yote na anasema kwamba hakufanyiwa haki. Daktari wa PakistanI ambaye...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Posted as received: "Dear All- Let's be real. I wish to start by adding the benefit of my time as a student and then resident in the UK. Living in Abuja now. The first thing that I discovered...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Specie ni kundi la viumbe wenye uwezo wa kujamiiana na kupata kiumbe mwengine ambae ni fertlile(mwenye uwezo wa kuja kuzaa). Viumbe kutoka specie tofauti huunda kundi moja linaloitwa Genus ambalo...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
So It have been atheists' mantra that there is no evidence for God. They will try to press for evidence and then make rabbit trails that goes no where when presented with evidence. So ultimate...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Japo ni ukweli kuwa Mungu ndie bosi mkuu wa Usalama wa Taifa ila ukweli ni kwamba anafanya kazi kwa karibu na Usalama wa Taifa. Kuna aina mbili ya Usalama wa Taifa,wale wasio na vitambulisho na...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za jumapili wakuu natumaini siku yenu imekwenda vizuri sana. Naomba kushare nanyi makalaa hii nitakayokwenda kueleza kuhusu uhusiano Wa karibu kabsa katika ya Shetani au Ibilisi na vitendo...
10 Reactions
147 Replies
18K Views
Back
Top Bottom