Ndege anayopanda Rais ina call sign gani?

Ndege anayopanda Rais ina call sign gani?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,493
Reaction score
9,264
Wakuu,

Ndege yoyote anayopanda Rais mara nyingi inapewa jina Ili iweze kutambulika na watu wa control tower, mfano Rais alivyopanda Dreamliner basi palepale ili-change jina kwa muda mpaka aliposhuka ndiyo ikarudi jina lake halisi. Haya majina kuendana na kuwapo yeye ndani ya ndege hiyo, huongeza heshima na umakini wakati wa landing and taking off.

Mfano, Trump akiwa kwenye ndege yoyote basi call sign name yake itaitwa Airforce one hata kama ni Bombardier Q400, naomba kujua call sign name ya Rais wetu awapo katika usafiri wa anga.
 
Akiwa Rais na hasa kama kapanda ndege yake mwenyewe bila mchanganyiko wa abiria wengine,Call Sign yake huwa "Tanzania One", Ila akiwa amepanda ya abiria tu, itafahamika kuwa kuna VVIP ndani na labda ni Rais, lakini ndege itakuwa na Call Sign yake inayotokana na mruko wake eg.TC 113.

Akiwa Makamu wa Rais ni Tanzania Two, na Waziri Mkuu Call Sign yake ni Tanzania Three, kule Zenji kuna Zanzibar One na Zanzibar Two, enzi za Muafaka kulikuwa na Zanzibar One, Two na Three akawa Makamu wa Pili wa Rais.

Marekani nadhani akiwa kwenye ile B474-400 ndio anaitwa Airforce One, ila akiwa kwenye ile Chopa huwa nadhani wanabadili Call Sign wanamuita kama Marine One.
 
Akiwa Rais na hasa kama kapanda ndege yake mwenyewe bila mchanganyiko wa abiria wengine,Call Sign yake huwa "Tanzania One".Ila akiwa amepanda ya abiria tu itafahamika kuwa kuna VVIP ndani na labda ni Rais,lkn ndege itakuwa na Call Sign yake inayotokana na mruko wake eg.TC 113.

Akiwa Makamu wa Rais ni Tanzania Two,na Waziri Mkuu Call Sign yake ni Tanzania Three,kula Zenji kuna Znz One na Znz Two,enzi za Muafaka kulikuwa na Znz One,Two na Three akawa Makamu wa Pili wa Rais.

Marekani nadhani akiwa kwenye ile B474-400 ndio anaitwa Airforce One,ila akiwa kwenye ile Chopa huwa nadhani wanabadili Call Sign wanamuita kama Marine One
Asante kwa elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barafu asante sana mkuu kwa somo hili
 
Mkuu barafu kuna Watu walikuzushia humu umefariki!!

Karibu tena utupe nondo labda kupitia uzi huu niulize, Rais wa USA ndege yake ikipata hitilafu ambayo kuanguka ni obvious ataokolewa na ile Pod inayojieject kama parachute na watamtafuta kwa GPRS.

Sasa swali: Je, marais wa nchi maskini ndege zao zikizingua angani na kuanguka ni dhahiri, je wataokolewaje?

NB: Kumbuka yule katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyefia kwenye misitu minene ya Kongo baada ya ndege yake kupata hitilafu.
 
Wakuu Ndege yoyote anayopanda Rais mara nyingi inapewa jina Ili iweze kutambulika na watu wa control tower mfano rais alivopanda dream liner basi pale pale ili change jina kwa muda mpaka aliposhuka ndo ikarudi jina lake halisi haya majina kuendana na Kuwapo yeye ndani ya ndege hio huongeza Heshima na Umakini wakati wa landing and taking off.

Mfano Trump akiwa kwenye ndege yoyote basi call sign name yake itaitwa Airforce one hata kama ni bombardier Q400, naomba kujua call sign name ya Rais wetu awapo ktk usafiri wa anga.
Na kama Rais akisafiri na first class?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu barafu kuna Watu walikuzushia humu umefariki!!

karibu tena utupe nondo labda kupitia uzi huu niulize rais WA USA ndege yake ikipata hitilafu ambayo kuanguka ni obvious ataokolewa na ile Pod inayojieject Kama parachute na watamtafuta kwa gprs

Sasa swali je marais wa nchi maskini ndege zao zikizingua angani na kuanguka ni dhahiri je wataokolewaje?

NB: Kumbuka Yule katibu mkuu WA umoja WA mataifa aliyefia kwenye misitu minene ya Kongo baada ya ndege yake kupata hitilafu!

Usiende huko mbali, chukulia tu kudondoka kwa Makamu wa Rais wa JK pale eneo la Jeshi akiwa na chopa na kina Kova, Meck Sadick na Jiwe. Ukiipata hiyo picha, utajua tahadhari ya viongozi wa nchi masikini ipo kwa umakini wa kiwango gani. maana hata juzi Rais kasema ndege anazotumia anazitoa kwa ATCL zibebe abiria, umepata picha hapo?

Hilo la kufa sijui, ndiyo nalisikia kwako mkuu.
 
Back
Top Bottom