ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,532
- 44,637
Wakuu naombeni kujuzwa nimeona Kwenye rank za usalama wa taifa duniani ya ya Pakistan inaonekana iko juu nafasi ya kwanza ikifuatiwa na CIA ya Marekani.
Leo ninataka kujua 'rank' ya ubora wa hivi vyombo unatokana na sababu gani?
Je, ni uwezo wa gani au 'factor' gani haswa wanazoangalia mpaka kuweka hitimisho kuwa idara ya Pakistan ndio namba moja?
Kwa sababu Mimi nilitegemea kuona ya Marekani ndiye ishike nafasi ya kwanza kwa kuwa imesambaza watu wake kila mahali Duniani na pia nchi yao ni ngumu kuvamiwa na maadui
Naomba kuwasilisha