Wakuu wa JI habari zenu.
Natambua jukwaa hili limesheheni wajuzi wa mambo mbalimbali ya duniani,yaliyopita na yaliyopo.
Kwa ajili ya kujikumbusha na kujifurahisha na kujifunza,napenda utujuze wewe...
Habari za wakati huu ndugu zanguni nyote katika jukwaa pendwa la jf,Siku hadi siku tunazidi kuongezeana maarifa kwa yale tuyajuayo ama tusiyoyajua.Leo nimeonelea niongelee suala moja ambalo wengi...
Habari ya Jumamosi wakuu. Naomba kuleta ufahamu kidogo juu ya ishu ya Black Magic ila hapa ni kuhusu kijiji kimoja kinachopatikana upande wa kaskazini mashariki mwa nchi ya India. Ni kijiji...
Wengi wetu tunajua Mungu aliumba dunia Kwa siku sita na akapumzika Kwa siku moja ambayo ni siku ya saba
Lakin wakati Mungu anaumba dunia hatukuwa katika huu mfumo wa maisha, Kwa sababu huu mfumo...
NI vigumu kuamini! Edward Mordrake ni Mwingereza mashuhuri wa karne ya 19 ambaye alijinyakulia tuzo za Nobel. Mordrake aliyetokea kwenye ukoo mashuhuri na wenye hadhi kubwa nchini humo...
Makala haya yanatokana na habari ambayo iliandikwa katika gazeti la Ammennusatia la kule Finland katika toleo lake la Julai 1989.
Kikundi kimoja cha wanajiologia (wana elimu ya miamba) wa Kirusi...
Via CBS News Website
Scientists to announce "groundbreaking result" in black hole telescope project
BY BRIAN PASCUS
Astronomers say a major announcement is on the way based on findings from the...
If humanity is serious about colonizing Mars, we need to get busy studying how to get busy in space..
- Mike Wall.
Kumekuwa na harakati nyingi sana katika huu ulimwengu ambapo nchi za dunia ya...
Habari za jioni wapendwa naomba kuleta uzi huu kwa ajili ya kupeana maarifa kidogo yaliyopo katika jamii yetu. Karibuni.
Kama ni mfuatiliaji wa makala ninazozileta humu ndani basi ulishawahi kuona...
Joseph Massino akifahamika Zaidi kama Joey Massino au Big Joey “The Last Don” Don wa Mwisho. Kwa maana baada ya yeye hakuna tena Don mwingine aliyekuja kuwepo. Huyu alikuwa Mbabe wa Familia ya...
Jambo hili hunishangaza sana.Tumeambiwa ulimi wetu una nguvu ya kuumba.Kwa sababu tuliumbwa kwa mfano wa Mungu.Hili nalikubali kwa imani.
Ulimi huu ukijitamkia mambo mabaya,hata watu waliosikia...
Juzi kati nimemaliza kusoma kitabu kuhusu Yom kuppur war. Baada ya kipigo kikali cha mwaka 1967 wamisri wakakaa na kujitafakari. wakagundua nguvu kubwa ya Israel ipo kwenye jeshi lao la anga na...
Habari wana wa JF
Karibu katika uzi huu.Kwasababu sisi ni werevu naomba tuoneshe heshima kwa wengine kabla hatujaenda mbele.
Kabla ya kuuliza masuali yangu naamini wazi kuwa kila kitu...
Nimenunua maji ya kunywa kutoka kampuni mbili tofauti. Kilichonifanya nianzishe thread ni baada ya kuona composition (in mg/litre) ya hayo maji kutofautiana kwa mbali sana.
Maji one: chloride...
Niswali ambalo sikuzote hua najiuliza, ikizingatiwa sisi (binaadam) wanyama (simba, paka, nge) na mimea (mchungwa, iriki,mbuyu) sote ni viumbe hai.
Kwakua hakuna sehem niliyojifunza kua wanyama...
Habari zenu wakuu,
Ni njia ipi nzuri na rahisi ya kumkamata mtu anayetaka kupokea rushwa? Kwa mfano, mtu anataka rushwa ya hela na yuko tayari mkutane sehemu yoyote utakayopanga wewe ili umpe...
Kama inavyosomeka mada "Uafrika - Juu ya Yote Wafrika na Afrika", ni makala ninayoiandika, ili wote tutafakari, tujifunze na tuchunguze.
ASILI YA NENO AFRIKA
Asili ya neno "Afrika" ni neno...
Habarini wana jamii... Natumain wote mko poa katika ujenzi wa taifa letu....
back to the topic:
katika pitapita yangu ya kujua mambo ya solar system na mambo ya aliens na UFOs nimekutana na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.