Part 3: Ujasusi ndani ya Boeing

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Barrack Obama aliwaita mkurugenzi mkuu wa CIA Leon Paneta pamoja na majenerali kadhaa wa jeshi la Marekani siku chache baada ya CIA kumtaarifu Rais Obama kuwa ,tayari maficho ya Osama waliweza kuyabaini yalipo mjini Abbotabad Pakistan.
Obama alishaurina nao jinsi ya kumpata Osama, wakaweka option tatu.
1.Kuitaarifu serikali ya Pakistani iwasaidie kumkamata Osama
2.Kuipiga mabomu nyumba waliyojihakikishia kuwa Osama anaishi humo ili isambararike na Osama afe
3.Kuivamia Pakistan kimya kimya na kisha kumuua kabisa Osama.
Option namba 1 ilipingwa Kwa hoja kwamba, serikali ya Pakistani ilijua uwepo wa Osama na Kwa hivyo kuitaarifu ingemtorosha Osama, hatimaye Obama akakiamuru kikosi maalumu na bora kabisa cha makomandoo maarufu Kwa jina la Navy Seal kuivamia Pakistan na kisha kumuua kabisa Osama ,na endapo ingetokea lolote Marekani ilikuwa tayari kuingia vitani na Pakistan.
Pamoja na misaada yote ya Marekani Kwa Pakistani lakini bado Marekani iliamini kuwa Pakistani ni adui yake tu, mara baada ya Osama kuuawa Pakistani iliwakamata raia wake kadhaa akiwemo Dr Ahmed ambao walitumiwa na CIA bila kujua ama walijua kupeleleza alipojificha Osama ndani ya Pakistan.
Boeing imehuhujumiwa na majasusi Kwa kutumia wafanyakazi wa Boeing waliojua wanachofanya au hawakujua kabisa, ni Kama lile tukio la majasusi wa North Korea waliomuua kaka yake na Rais Kim Jong Un ktk jiji, la Kuala Lumpur Malaysia .
Walikodi wasichana mmoja akiwa raia wa Vietnam na kisha wakaambiwa kuwa, kuna tukio la kucheza sinema Airport, watapewa unga kwenye leso kisha wataonyeshwa mtu wa kumpaka Huo unga usoni na baada ya kumpaka wakimbie haraka bafuni kunawa mikono.
Walilipwa kwa kazi hiyo Kumbe ilikuwa sumu Hatari waliyopewa na majasusi.
Mahakama kuu ya Malaysia imemhukumu kifungo cha miaka mitatu binti wa Vietnam baada ya upelelezi kuhakikisha kuwa ni kweli aliingizwa mkenge na majasusi.
Gazeti la New York Times la 27/03/2019 limeripot juu ya kamati ya Bunge la Congress la Marekani kuiweka kiti moto kampuni ya Boeing juu ya ajali mbili mfululizo.
Kamati ya hiyo ya Congress haikuridhika na majibu ya Boeing waliyotoa kujitetea, kamati inadai kuna maswali mengi yasiyojibika.
Kudai kwamba mfumo wa Computer uliofungwa kwenye Boeing 737 ni mpya na uliwasumbua marubani hadi kusababisha ajali hiyo ni very poor excuse.
Kusema kwamba ni mfumo wa Computer ndo tatizo ni Taarifa za awali tu lakini uchunguzi zaidi unaendelea hadi sasa bado ni fumbo gumu.
Kwanini huo mfumo mpya wa Computer marubani hawakufundishwa kabla ya kurusha hizo ndege?
Kwa mfano ndege zote za kijeshi, (fighter jets) kila aina ya ndege ni lazima kila rubani aende kozi kuisomea kabla ya kuirusha.
Rubani anayerusha Mig-21 hawezi kurusha F-16 hadi aende kozi, Rubani anayerusha F-35 hawezi kurusha Stealth Bomber hadi aende kozi .
Na hata kwa ndege za abiria nazo zinatofautiana, huwezi kurusha Boeing 377 hadi uende kozi.
Sasa ilikuwaje Boeing 737 iingie sokoni bila marubani kufundishwa mfumo wake mpya wa Computer?
Eti Boeing ndo imewaita marubani 200 ili wakasomee huo mfumo mpya wa Computer kwenye Boeing 737 Max 8.
Walikuwa wapi kuwafundisha siku zote? nani alikwamisha huo mpango wa ku train marubani na Kwa nini?
Marekani ina maadui wengi Duniani, uchumi wake mkubwa unatesa mataifa mengi na wanaionea wivu mno.
Haijapigwa Boeing, imepigwa Marekani kiuchumi, mataifa mengi yaliyokuwa yameagiza hizo ndege yamesitisha tenda ghafla ikiwemo China iliyokuwa imeagiza ndege 100,Nigeria zaidi ya 30,Ujerumani ,Ethiopia yenyewe ilibakiza ndege 30 sasa imesitisha.
Ni pigo kubwa Kwa uchumi wa Marekani.
Boeing kuja kuaminika tena na wateja wake siyo leo wala kesho, mission accomplished, majasusi wamevuta chao baada ya kazi ngumu yenye kutumia akili tupu.
Wakati sisi tukiwaza kuua upinzani ili watu watawale milele, ma genius wapo busy kuua umaskini ili wale bata milele.
MWISHO.
Makala ya kesho, "Nyerere alimkosea nini Mungu? ".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It sounds so weird but interesting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeenda vizuri ila hapo ulipomalizia kuhusiajisha na nchi zetu,hukutumia akili sawa sawa.

Wewe unaona nani anacheza mchezo wa hatari kusurvive kati ya hao wanaoua upinzani na hao wanaoua mamia ndani ya ndege!!!

Ni bora upinzani ufe kama watu wanataka kusurvive,kuliko tuanze kuundiana mazengwe ya kihuni kama hayo ya kuangusha ndege.
 
osama alikufa tokea mwanaka 2002 kwa ugonjwa wa kibofu cha mkojo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safi sana mwamba

Mkuu, upinzani ni mawazo ya mamilioni ya watu na siyo hao kina Mbowe, kujaribu kuua upinzani ni Hatari sana ni bora ndege ianguke kuliko civil war.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom