@From: maalim hassan
Kila mtu anataka kujua namba yake ya bahati na namna ya kuitumia kwa faida yake. Baadhi ya watu wanataka kutumia namba zao za bahati kwa kupanga tarehe zao muhimu na kufanya...
habari wakuu .
Kiukweli ninachangamoto katika utambuzi wa Tarehe yangu ya kuzaliwa na mwezi. japo mwaka unatambulika. nahii ilitokana na kutopata data kamili kutoka kwa mlezi.
sasa naomba kujua...
Defection is the desertion of one's country or cause in favor of an opposing one.
Edward Snowden mfanyakazi wa shirika la kijasusi la marekani alikimbia nchi yake na kwenda Russia ambapo Russians...
Kitendo cha kufundisha kipo toka enzi na enzi,kila mzazi ama mtu mzima huwafundisha watoto ama wadogo zao jinsi ya kutenda ,kufanya ama kutekeleza jambo fulani kwa utaratibu uleule.
Sasa je ,ni...
Salaam wanajukwaa,
Kwa mara ya kwanza nami napost mada katika jukwaa hili baada ya kuwa msomaji wa mada mbali mbali kama za kina Pasco, Mshana Jr. e.t.c.
Katika jukwaa hili kumekuwa na mada...
Mungu na Shetani wapo katika Utashi wa kila binadamu mwenye akili timamu.
Binadamu ndiyo kiumbe pekee mwenye kubeba mipango na malengo ya aliye muumba,binadamu ni kiumbe ambacho kinatekeleza...
Zana ya kiimani kuwa viumbe hai viliumbwa
ndani ya siku moja au vimeumbwa kwenye
mfumo wa theory ya evolution of life ya Charles
Dawn imekanushwa kwa vitendo vya mawimbi
ya program ya nguvu za...
Wakuu naombeni ufafanuzi hapa. Kati ya MWEZI na JUA kipi kina nguvu zaidi ya kingine? Pili wanasayansi wengi husafiri kwenda mwezini, Je! Kwa nini hawaendi kwenye jua? Pia wanasayansi hao hao...
Kombora la ajabu: Je ni silaha gani iliofanyiwa majaribio na Urusi Arctic?
Hakimiliki ya pichaRUSSIAN DEFENCE MINISTRY
Wahandisi watano wa nguvu za kinyuklia waliofariki kufuatia kulipuka kwa...
Dunia haiko kama unavyoiona, Kuna agenda ya siri sana, na wahanga wakubwa watu, weusi, lazima uamke ili uione picha kubwa...ukifanya hivyo, utajikuta uko vitani mtu mweusi, karibu tuko hapa...
It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact...
Ilikuwa mwaka 2011 ndipo alipoonekana kwa Mara mwisho kiongozi wa zamani wa Libya colonel GADAFI.
Ni katika hotuba zake na pia akiuawa na vikosi vya waasi wakisimamiwa na NATO air Force.
Lakini...
Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius...
Huyu ni mtoto wa meneja wa zamani wa NBC Urambo na mzawa wa Masasi,Ibrahim Salumu Khatau na mama yake karani wa bank ya NBC Isike Tabora na baadae Urambo Bi.Stella Ezekiel,wote ni marehemu sasa...
Wale wahenga wanakumbukua ile story ya mnugu aliyekutwa Arusha miaka ya tisini. Alikuwa analima bangi kumbe alikuwa fugitive. FBI files wanasimulia mkasa wake jamaa alikuwa gang leader in states...
Majuma kadhaa yalopita, The Bold aliweza kuandika Thread inayomhusu D.B.Cooper,jamaa ambae aliweza kuiteka ndege ya Boeing mnamo mwaka 1971 na kisha kuomba apewe dollar lak 2 ambazo alipewa na...
Habari wana JF,
Leo, nimevutiwa kuandika makala hii, inaohusiana na maswala ya kukua na kuanguka kwa mataifa kwa madhumuni ya elimu kwa wasiojua (kwa wanaojua iwe ukumbusho).
NB: Ntatumia mifano...
UTANGULIZI
Habari za jioni wana jukwaa pendwa kufuatia maoni kwenye huu uzi
Wafahamu viumbe watatu wa kutisha wa baharini - JamiiForums kuna baadhi ya watu walinitaka niandae uzi maalum ili...
Leo tujikumbushe skendo iliyolitikisa taifa la Marekani hasa familia ya Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton kuhusiana kimapenzi na mfanyakazi wa Ikulu Monica Lewinsky.Wengi tumesahau lakini ni...
Salaam.
Huwa nawaona walinzi wawili wa Mh. Rais wamebeba mabegi wanatembea nayo karibu kabisa na Mh. Rais kila aendapo.
Yale mabegi huwa ni ya nini ?
Yamebaba nini ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.