International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Amani iwe nanyi wakuu, Naomba kuuliza hii nchi ya Urusi iko pande zipi za dunia, je iko Ulaya au iko Asia? Naomba kujuzwa Na je Warusi ni wazungu au ni watu gani? Je au ni Waarabu? Lakini kama...
9 Reactions
115 Replies
28K Views
Kuna taarifa leo kuwa Binyamin Netanyahu au Bibi ameshtakiwa na mwendesha mashtaka (DPP) pamoja na Mwanasheria Mkuu (Attorney General) wa serikali ya Israel kwa kosa la rushwa, ufisadi na matumizi...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Bado hali yamkini si shwari nchini Iran. Kilichofanikiwa hadi hivi sasa ni kudhibitiwa kwa taarifa kuhusiana na maandamano hayo. Serikali imeamua kutandaza carpet na kuhakikisha kila...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukiifuatilia habari mbalimbali hasa za waUK kana kwamba hawawapendi warusi na wanaponda kila kitu Chao. Kwenye EURO football tournaments waingereza na warusi walipokutana walipigana ngumi hadi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
The Queen put on a brave face last night after summoning sex scandal-hit Prince Andrew to Buckingham Palace to strip him of all royal duties. Her Majesty’s extraordinary intervention came after...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Britain is braced for its first December general election since 1923 as all of the major parties battle for the right to take the lead on Brexit. If Boris Johnson and the Tories win a majority at...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Picha meli mbili kati ya tatu zikianza kuondoka katika bandari ya Kerch hapo jana, tarehe 17.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwanaharakati maarufu wa mashirika ya kiraia Almaas Elman ameuawa kwa kupigwa risasi Jumatano, Novemba 20, wakati alikuwa akijiandaa kusafri kwa ndege kwenda mji mkuu wa Kenya, Nairobi ambako...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ugonjwa wa ukambi ama Surua umewaua takriban watoto 5000 katika taifa la Jamhuri ya KidemokrasIa ya Congo mwaka 2019, kulingana na mamlaka baada ya ugonjwa huo kusambaa hadi mikoa yote. Takriban...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Profesa wa Chuo kikuu ambaye ameandika kitabu kuhusu usafirishaji wa madawa ya kulevya na jinsi uhalifu unavyopangwa ameshtakiwa na mamlaka za Marekani kwa kosa la uhujumu uchumi wa kiasi cha dola...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Wataalam wameonya hakuna chanjo za kutosha nchini humo. Ugonjwa wa ukambi ama Surua umewaua takriban watoto 5000 katika taifa la Jamhuri ya KidemokrasIa ya Congo mwaka 2019, kulingana na mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni Myahudi ambaye amefanya utafiti kuhusu taifa la Israel kwa miaka mingi sana. Siku zote huwashinda wapinzani wake kwa hoja nzito ambazo amezifanyia utafiti wa kina. Anajiamini sana na...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Madaktari waliofukuzwa kazi nchini Zimbabwe wanaotaka kurudishiwa ajira zao ni lazima wafanye maombi upya. Hili linakuja baada ya Serikali ya nchi hiyo kufungua tena kliniki ya akina mama ya...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Urusi anawaza mbele sana, kwa sasa ana Russia’s Nuclear Tsunami Apocalypse Torpedo is Named 'Poseidon'. Hii ni kwamba ikidondondoshwa Km kadhaa kutoka Pwani inapeleka kilio kikubwa sana kwenye...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Maelfu ya raia wa Georgia wamefanya maandamano makubwa mjini Tbilisi, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani kitendo cha kuonyeshwa filamu ya kuchochea ufuska na maingiliano ya kimwili ya watu wenye...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Urefu km 10 upana km 4 sio UNO, Arabu league wala GCC wameweza kutengue ungomvi wa eneo hili State agent
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Watu ishirini na moja wameuawa, wengine wanne wamejeruhiwa na watoto kadhaa wametekwa nyara katika mashambulizi mawili ya ADF usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano Novemba 20 katika mji wa Beni na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JOHANNESBURG - Afrika Kusini. Kumekuwa na wimbi la kesi za utekaji nyara nchini Afrika Kusini, na takwimu zinaonesha ongezeko kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hapo awali, walengwa wakuu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la Burundi limepoteza askari zaidi ya 50 katika mapigano na watu wenye silaha yaliyotokea usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili katika Msitu wa Kibira, Wilayani Mabayi, Mkoani Cibitoke...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Jeshi la Mali limeshambuliwa na kundi la watu wanaoshukiwa kuwa magaidi, Kaskazini mwa nchi karibu na mpaka na Niger. Shambulio lilitokea Jumatatu, Novemba 18. Inaonekana kuwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom