Maelfu waandamana Georgia kupinga filamu za ushoga zinazosambazwa na Marekani

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Maelfu ya raia wa Georgia wamefanya maandamano makubwa mjini Tbilisi, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani kitendo cha kuonyeshwa filamu ya kuchochea ufuska na maingiliano ya kimwili ya watu wenye jinsia moja.

Katika maandamano hayo, wakazi wa Tbilisi wamepiga nara ya 'Mauti kwa Marekani.' Waandamanaji walipiga kambi mbele ya ukumbi wa sinema wa 'Amirani' mjini hapo ambapo pia walijaribu kuzuia kuonyeshwa filamu hiyo ya masuala ya maingiliano ya kimwili ya watu wenye jinsia moja. Hata hivyo polisi walivamia maandamano hayo ya amani na kuwatia mbaroni makumi ya waandamanaji.

Filamu hiyo chafu inayotangaza ufuska na ubaradhuli, imeundwa kwa ushirikiano wa Georgia na Sweden. Waandamanaji wameinyoshea kidole cha lawama Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa kujaribu kubadili muundo wa kiutamaduni na kiutambulisho wa raia wa Georgia kupitia maonyesho ya filamu chafu za namna hiyo. Ukweli ni kwamba ni suala lisilo na shaka yoyote kwamba Marekani na serikali nyingine za Ulaya, zinatumia njia za pamoja kwa ajili ya kuibua mabadiliko ya kiutamaduni na kiimani katika mataifa tofauti duniani, ambapo uundwaji na maonyesho ya filamu za ufuska ni sehemu ya mbinu zinazotumiwa na madola hayo.

Ni kupitia mbinu hizo na mashinikizo ya madola ya Magharibi hususan Marekani, ndipo zikazishinikiza nchi nyingi za Kiislamu kupitisha sheria zinazoruhusu maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja. Kwa mfano tu nchi ya Azerbaijan, ni nchi ya Waislamu inayopakana na Georgia, ambapo licha ya upinzani mkubwa wa raia wa taifa hilo, hatimaye serikali ya Baku ikiwa chini ya mashinikizo ya Marekani ilipitisha sheria ya kuunga mkono vitendo vya ubaradhuli katika bunge la taifa hilo.

Licha ya sheria hiyo kupitishwa na serikali, vyombo vya habari na raia Waislamu wa nchi hiyo kamwe hawajakubaliana nayo. Nchini Georgia pia hali inafanana na ile ya Azerbaijan. Kwa kuzingatia kuwa Georgia ni moja ya nchi zinazohesabiwa kuwa za Kikristo, lakini raia wa nchi hiyo wanapinga vikali kutangazwa na kuonyeshwa filamu za maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja. Ni kwa ajili hiyo ndio maana kabla ya hapo na katika hali ambayo raia wa taifa hilo wakiwa wamenyamaza kimya, kanisa kuu mjini Tbilisi lilitoa taarifa ya kupinga vikali kuonyeshwa filamu hiyo chafu katika kumbi za sinema za miji miwili mikubwa ya Tbilisi na Batumi na kusisitiza kwamba filamu hiyo inakinzana na matukufu ya kitaifa na ya kidini ya watu wa Georgia.

Hivi sasa tunatakiwa kujiuliza swali hili kwamba, je, ni kwa nini raia wa Georgia wameandamana kuilaani Marekani kwa filamu iliyoundwa kwa ushirikiano wa nchi yao na Sweden? Sababu ya swali hilo iko wazi. Nayo ni kwamba Marekani imebadilika na kuwa nchi inayodhamini maslahi ya shetani na katika hilo inafanya juhudi kubwa kujaribu kuipotosha jamii ya mwanadamu. Ni kwa kuzingatia suala hilo, ndio maana raia wa Georgia, wakakusanyika mbele ya ubalozi wa Marekani na kupiga nara za kulaani mipango michafu ya Washington na madola mengine ya Magharibi ambapo wamesisitiza kwamba , wanapinga ripoti za uongo kuhusiana na hatua za Washington na nchi nyingine za Magharibi za kuonyesha filamu hiyo nchini kwao."

Tunapasa kusema kwamba hii sio mara ya kwanza ambapo raia wa Georgia wanafanya maandamano dhidi ya Marekani. Kabla ya hapo na katika harakati za njama za Marekani za kuanzisha kambi ya kijeshi ndani ya ardhi ya Georgia, raia wa nchi hiyo pia walitoa radiamali kali dhidi ya Washington. Kuhusiana na maandamano ya mwaka uliopita ya raia wa Georgia katika kupinga uanzishwaji wa kambi hiyo ya kijeshi ya Marekani ndani ya ardhi ya nchi yao, Tarkhan Moravi, mmoja wa wanaharakati wa kisiasa nchini humo alisema:

"Kujiunga Georgia na taasisi za kimataifa za kijeshi likiwemo Shirika la Kijeshi la Muungano wa Nchi za Magharibi (NATO) na pia kuwekwa kambi ya kijeshi ya nchi za kigeni ndani ya ardhi ya Georgia, ni suala lisilokubalika." Ukweli ni kwamba maandamano dhidi ya Marekani yamefanyika sana nchini Georgia hususan katika kipindi cha miaka ya 2017 na 2018 ndani ya mji wa Tbilisi na miji mingine ya nchi hiyo. Maandamano hayo yanaonyesha kwamba raia wa Georgia hawataki uwepo wa kijeshi au wa kiutamaduni wa Marekani ndani ya nchi yao, licha ya Washington kuimiminia misaada isiyo na malipo serikali ya Tbilisi kwa ajili ya ustawi wa kiuchumi wa taifa hilo. Marekani ambayo inamwakilisha shetani katika muundo wake wa utawala.
 
Taifa la USA linataka kila mtu awe shoga kwa kisingizio cha haki za binadamu. Hii haifai. USA kama wanapenda kubanduana wanaume kwa wanaume wafanye wao wasilazimishe wengine
 
Si ni haki za kibinadamu lakini?
 
Unabii unatimia,ukisoma kitabu kitabu cha nabii Daniel haya yote yalikwisha tabiriwa lkn,yakabaki kuwa siri mpaka hapo muda ulipotimia ndipo yakafunuliwa kupitia kwenye kitabu cha ufunuo (kitabu cha ufunuo kinayatafsir yale yaliyonenwa na nabii Daniel)
Tusiitazame Marekani peke yake Vatican ndyo wapo nyuma ya agenda ya homosexual ila Marekani yeye ni speaker tu..."naye nyoka wa mnyama wa kwanza akampa mamlaka yule mnyama wa pili...,jeraha la mauti likapona"
 
Mkuu fafanua hapo sentesi 2 za mwisho.
 
mmh

Unaonekana kama mtu asiyejitambua vile.
Hapo umeandika nini pimbi wewe?
 
Unabii unatimia,ukisoma kitabu kitabu cha nabii Daniel haya yote yalikwisha tabiriwa lkn,yakabaki kuwa siri mpaka hapo muda ulipotimia ndipo yakafunuliwa kupitia kwenye kitabu cha ufunuo (kitabu cha ufunuo kinayatafsir yale yaliyonenwa na nabii Daniel)
Tusiitazame Marekani peke yake Vatican ndyo wapo nyuma ya agenda ya homosexual ila Marekani yeye ni speaker tu..."naye nyoka wa mnyama wa kwanza akampa mamlaka yule mnyama wa pili...,jeraha la mauti likapona"
Hizo balimi za ofa zikiisha pengine akili itakukaa sawa.
 
Back
Top Bottom