Russia’s Nuclear Tsunami Apocalypse Torpedo is Named 'Poseidon'

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,493
8,728
Urusi anawaza mbele sana, kwa sasa ana Russia’s Nuclear Tsunami Apocalypse Torpedo is Named 'Poseidon'. Hii ni kwamba ikidondondoshwa Km kadhaa kutoka Pwani inapeleka kilio kikubwa sana kwenye Pwani ya Audi.

Hii ni ya kusababisha Tsunami tu yenyewe inapigwa majini, inadondoshwa majini na kupeleka msiba wa mkubwa sana. Nadhani wote tunajua madhara ya Tsunam sasa hii silaha ndo kazi yake.

belgorod-gci-940-kanyon1-1532458821.jpeg
images%20-%202019-11-21T115725.318.jpeg
 
Lengo lao kuua raia maana hakuna kambi ya jeshi ufukweni mwa bahari. Sio sifa nzuri kwa jeshi
 
Poseidon was god of the sea, earthquakes, storms, and horses and is considered one of the most bad-tempered, moody and greedy Olympian gods.
 
Lengo lao kuua raia maana hakuna kambi ya jeshi ufukweni mwa bahari. Sio sifa nzuri kwa jeshi
kwani kuna kombora maalum kwa kambi za majeshi nchi yoyote!?.. Hebu litaje!?..
 
Lengo lao kuua raia maana hakuna kambi ya jeshi ufukweni mwa bahari. Sio sifa nzuri kwa jeshi
Kombora lililoundwa la kupiga Kambi Ama wanajeshi Pekee Halijawahi Kutokea DUNIANI

Vita zazamani ambazo zilikua zinakutanisha watu face 2 face 2 ndio zilikua zinapiganwa wajeshi kwa wajeshi 2 kwa ss hapana

Ss hv wana angalia 2 adui yako atapata vp madhara ila haijalishi madhara gani


Nb:siungi mkono vita wala mauaji yaraia katika nchi zenye mapigano
 
Back
Top Bottom