Hapa ndio eneo la Gaza wanaume wanapotunishina misuli

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Urefu km 10 upana km 4 sio UNO, Arabu league wala GCC wameweza kutengue ungomvi wa eneo hili

State agent
Screenshot_2019-11-19-03-08-52.jpeg
 
Israel sio kwamba anaitaka Gaza, wao wenyewe walijiondoa Gaza miaka ya 2000. Gaza iko kipekee tangu enzi za Abraham na Wayahudi iliwawia ngumu sana kuikalia Gaza. Ndo maana Israel walitosheka na kujenga uzio wa kuizunguka ili isiwe tishio kwao.
 
Israel sio kwamba anaitaka Gaza,wao wenyewe walijiondoa Gaza miaka ya 2000.
Gaza iko kipekee tangu enzi za Abraham na wayahudi iliwawia ngumu sana kuikalia Gaza.
Ndo maana isrEl walitosheka na kujenga uzio wa kuizunguka ili isiwe tishio kwao
Punguza fiksi. Enzi za Abraham hakukuwa na Wayahudi. Abraham alihamia eneo hilo kutokea Iraq. Wayahudi ni wazaliwa wa kabila la Yuda ambao ni vitukuu wa mbali wa Abraham au Ibrahim.
 
Nucler boom kwenye eneo la km 10?
Ndio maana nimesema nimawazo fyatu kwa maana nyingine hilo eneo walifanye lipoteze mvuto kwa pande zote mbili au papelekwe kizazi cha wahadzabe waishi zao hapo wakijumlishwa na wale wa jangwa la kalahari
 
Mawazo yako
 
wafilisiti, mijitu makubwa,maguvu ya ajabu. Ni uzao kati ya malaika na binadamu,au vyanzo vingine wanasema ni viumbe kutoka sayari nyingine,aliens
Acha fix
Sio wafilisti wote walikuwa wanefili. Hata maanduje walikuwepo kwa wafilisti
 
Israel (singlehandedly) inatakiwa ifikirie uwezekano wa kuifanyia Gaza namna Putin aliifanyia Crimea, alafu immediately iwafanyizie maradicals wote namna China inawafanyia jamii ya wa Uighur huko Xinjiang.

sababu kwa namna kulivyo na interested parties wengi sana pale Gaza, haiwezekani hata kidogo kufikia muafaka.
 
Israel wanatakikuwa kukumbuka na kuikumbatia misingi ya historia yao, hasa misingi ya ujenzi wa Taifa hilo miaka elfu kadhaa iliyopita wakati Mussa na Joshua walipowaongoza kutoka Misri.

walifika hilo eneo kwa utisho mkubwa, kila hatua waliyopiga kuingia eneo hilo iliambatana na mauaji ya yeyote waliyekutana naye bila kujali kama ni watoto,wamama,wazee,walemavu,wagonjwa au wale waliojisalimisha. maelezo yalikuwa sio kuua tu,bali ni kuangamiza vizazi hivyo vyote. hivyo ndio walivyojiestablish hapo.

hizi mambo zao wanazofanya sasa za eti kuwa na allies around Gaza na democratic processes za kimarekani na ulaya,does not work in their favor.

siku moja asubuhi na mapema, kiongozi wao anatakiwa aamke na kutangaza utisho eneo hilo lote kwa vitendo,kwanza aachane kabisa na maswala ya Gaza, awaambie ukweli. wanaianza safari ya kurudisha ardhi yao yote ambayo inahusisha maeneo ambayo kimakosa yanajitambua kama mataifa ya Jordan,Syria,Iraq,Iran n.k

Siku hiyo asubuhi, suruhisho la GAZA litakuwa limepatikana.
 
Punguza fiksi. Enzi za Abraham hakukuwa na wayahudi. Abraham alihamia eneo hilo kutokea Iraq. Wayahudi ni wazaliwa wa kabila la Yuda ambao ni vitukuu wa mbali wa Abraham au Ibrahim
Ni kweli ila Wayahudi wanatokana na Yaakuub (Jacob) ambaye ni mjukuu wa Ibrahim. Ibrahim alimzaa Is - haq (Isaac) naye akamzaa Yaakuub (Jacob). Hivyo Yaakuub ni mjukuu wa Ibrahim kupitia kwa mwanaye Is - haaq.
 
Israel wanatakikuwa kukumbuka na kuikumbatia misingi ya historia yao, hasa misingi ya ujenzi wa Taifa hilo miaka elfu kadhaa iliyopita wakati Mussa na Joshua walipowaongoza kutoka Misri.

walifika hilo eneo kwa utisho mkubwa, kila hatua waliyopiga kuingia eneo hilo iliambatana na mauaji ya yeyote waliyekutana naye bila kujali kama ni watoto,wamama,wazee,walemavu au wale waliojisalimisha. maelezo yalikuwa sio kuua tu,bali ni kuangamiza vizazi hivyo vyote. hivyo ndio walivyojiestablish hapo.

hizi mambo zao wanazofanya sasa za eti kuwa na allies around Gaza na democratic processes za kimarekani na ulaya,does not work in their favor.

siku moja asubuhi na mapema, kiongozi wao anatakiwa aamke na kutangaza utisho eneo hilo lote kwa vitendo,kwanza aachane kabisa na maswala ya Gaza, awaambie ukweli. wanaianza safari ya kurudisha ardhi yao yote ambayo inahusisha maeneo ambayo kimakosa yanajitambua kama mataifa ya Jordan,Syria,Iraq,Iran n.k

Siku hiyo asubuhi, suruhisho la GAZA litakuwa limepatikana.
Waislamu watakwambia hakuna taifa linaloitwa Israel, alafu misikitini wanalisoma 😝😝😝
 
Back
Top Bottom