Je, Urusi iko Ulaya au Asia? Na Warusi ni Wazungu au ni Waarabu?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Amani iwe nanyi wakuu,

Naomba kuuliza hii nchi ya Urusi iko pande zipi za dunia, je iko Ulaya au iko Asia?

Naomba kujuzwa

Na je Warusi ni wazungu au ni watu gani?

Je au ni Waarabu? Lakini kama ni Waarabu mbona akili zao kumkichwa ziko timamu siyo kama Waarabu wengine ambao akili zao kumkichwa ni zero brain yaan brain washed?

Asanten

LONDON BOY
 
Naam!

Russia (Urusi) Inapatikana bara Europa na Asia, Russia yenye eneo ukubwa wa 17,075,200 sq km ambazo ni sawa na 6,592,772 sq miles.

Russia inakadiliwa kuwa na watu 160,041,247 Million.

Mji mkuu ukiwa ni Moscow huku ukipata miji iliyojizatiti kama St. Petersburg, Nizhniy Novgorod, Kazan, Voronezh, Tula, Ryazan, Ufa, Naberezhnyye Chelny, Orenburg, Yaroslavl, Penza, Saratov, Chelyabinsk, Tolyatti, Rostov hadi Volgograd.

Russia inayoongozwa na Jenerali, jemedari kinara master el capitano Vladimir Putin, ni nchi yenye mlengo wa Kijamaa.

Raia wengi wa Urusi wana asili zifuatazo kwa majority kubwa Wazungu, Waasia, Wachina, Wapersia na mchanganyiko wa hao wote kutengeneza Wazungu-Wachina, Wapersia-Waasia, Waasia-Wazungu na wengineo.

Russia ni yenye mlengo wa dini zifuatazo kuwa na wafuasi wengi Russia Orthodox na Muslim.

Pesa yao ni Ruble ambayo ruble 1 no 100 kopeks. Russia katika serikali inasimama kama Federal Government.

Nyongeza! Russia imekuwa ikiisaidia dunia kupambana na ubeberu na uonevu na mabavu ya Marekani yaani US, Russia itakumbukwa kwa kuzima majaribio mengi ya nuclear weapons za US na washirika wake.

Hivi karibuni Russia imesimama imara na kumlinda kipenzi cha watu Nicolaus Maduro "Eeeel Patron" ukipenda muite "Pappi" kutoka katika rasi ya America ya kati "Latin America" nchi ya Venezuela.

Hiyo ndio Russia Federal
 
Naam!

Russia (Urusi) Inapatikana bara Europa na Asia, Russia yenye eneo ukubwa wa 17,075,200 sq km ambazo ni sawa na 6,592,772 sq miles.

Russia inakadiliwa kuwa na watu 160,041,247 Million.

Mji mkuu ukiwa ni Moscow huku ukipata miji iliyojizatiti kama St. Petersburg, Nizhniy Novgorod, Kazan, Voronezh, Tula, Ryazan, Ufa, Naberezhnyye Chelny, Orenburg, Yaroslavl, Penza, Saratov, Chelyabinsk, Tolyatti, Rostov hadi Volgograd.

Russia inayoongozwa na Jenerali, jemedari kinara master el capitano Vladimir Putin ni nchi yenye mlengo wa Kijamaa.

Raia wengi wa Urusi wana asili zifuatazo kwa majority kubwa Wazungu, Waasia, Wachina, Wapersia na mchanganyiko wa hao wote kutengeneza Wazungu-Wachina, Wapersia-Waasia, Waasia-Wazungu na wengineo.

Russia ni yenye mlengo wa dini zifuatazo kuwa na wafuasi wengi Russia Orthodox na Muslim.

Pesa yao ni Ruble ambayo ruble 1 no 100 kopeks. Russia katika serikali inasimama kama Federal Government.

Nyongeza! Russia imekuwa ikiisaidia dunia kupambana na ubeberu na uonevu na mabavu ya Marekani yaani US, Russia itakumbukwa kwa kuzima majaribio mengi ya nuclear weapons za US na washirika wake. Hivi karibuni Russia imesimama imara na kumlinda kipenzi cha watu Nicolous Maduro "Eeeel Patron" ukipenda muite "Pappi" kutoka katika rasi ya America ya kati "Latin America" nchi ya Venezuela.

Hiyo ndio Russia Federal
Kwa hiyo Maduro haendi popote kama Asad?
 
Umemaliza mkuu Asante Sana
 
Russia ni TRANSCONTINENTAL STATE au kwa jina jingine INTERCONTINENTAL STATE.

Yaani ni nchi ambayo mipaka yake imegusa katika bara zaidi ya moja Kijiografia. Mfano mwingine ni Uturuki.

Kwa maana hiyo, kijiografia, Urusi inapatikana katika bara la Eurasia linalojumuisha Europe pamoja na Asia.

Katika masuala ya kiutawala, Urusi ni European State na mji mkuu wake ni Moscow uliopo ulaya ama European Russia ambapo zaidi ya raia wa Kirusi Milioni 110 wanaishi katika eneo hilo.

Hivyo basi, Urusi ni European State na Warusi ni Europeans.
 
Naam!

Russia (Urusi) Inapatikana bara Europa na Asia, Russia yenye eneo ukubwa wa 17,075,200 sq km ambazo ni sawa na 6,592,772 sq miles.

Russia inakadiliwa kuwa na watu 160,041,247 Million.

Mji mkuu ukiwa ni Moscow huku ukipata miji iliyojizatiti kama St. Petersburg, Nizhniy Novgorod, Kazan, Voronezh, Tula, Ryazan, Ufa, Naberezhnyye Chelny, Orenburg, Yaroslavl, Penza, Saratov, Chelyabinsk, Tolyatti, Rostov hadi Volgograd.

Russia inayoongozwa na Jenerali, jemedari kinara master el capitano Vladimir Putin ni nchi yenye mlengo wa Kijamaa.

Raia wengi wa Urusi wana asili zifuatazo kwa majority kubwa Wazungu, Waasia, Wachina, Wapersia na mchanganyiko wa hao wote kutengeneza Wazungu-Wachina, Wapersia-Waasia, Waasia-Wazungu na wengineo.

Russia ni yenye mlengo wa dini zifuatazo kuwa na wafuasi wengi Russia Orthodox na Muslim.

Pesa yao ni Ruble ambayo ruble 1 no 100 kopeks. Russia katika serikali inasimama kama Federal Government.

Nyongeza! Russia imekuwa ikiisaidia dunia kupambana na ubeberu na uonevu na mabavu ya Marekani yaani US, Russia itakumbukwa kwa kuzima majaribio mengi ya nuclear weapons za US na washirika wake. Hivi karibuni Russia imesimama imara na kumlinda kipenzi cha watu Nicolous Maduro "Eeeel Patron" ukipenda muite "Pappi" kutoka katika rasi ya America ya kati "Latin America" nchi ya Venezuela.

Hiyo ndio Russia Federal
Hapana pamoja na porojo nyingi za kusaidia sijui kuzima nini za USA bado hujamjibu. Hapo umesifia sifia tu,inaongozwa na nani wa kijeshi. Mleta uzi ameuliza iko bara gani,ulaya au Asia?. Wewe umeongeza kitendawili kwake kwamba imepakana na ulaya na Asia. Hujamwambia iko bara gani?
 
Back
Top Bottom