Yanayoendelea ndani ya kivuli cha ukimya nchini Iran

Yanayoendelea ndani ya kivuli cha ukimya nchini Iran

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,904
Reaction score
27,431
Bado hali yamkini si shwari nchini Iran.

Kilichofanikiwa hadi hivi sasa ni kudhibitiwa kwa taarifa kuhusiana na maandamano hayo. Serikali imeamua kutandaza carpet na kuhakikisha kila kinachofanyika kinafanyika kikiwa blanketed under the carpet.

Hii hali si nzuri, inahitajika jumuiya za kimataifa ku-intervene ili kunusuru hali na maisha ya tabaka mhanga.

Fuatilia link hiyo hapo chini kuona video clips matukio na taarifa zaidi.

 
Ishapita hii itakuwa Sasa wanarecover critical days zimepita. Mpaka internet wamerudisha
 
Mimi nadhani unaonesha matukio yaliyo pita.
 
Pro Us mnamangamanga Kama mchwa...[emoji23][emoji23]
Uwe na adabu japo kidogo, kama kitu hukitaki kataa, siyo kwa kuwa habari hauipendi basi unaanza kujitengenezea taswira kuwa mleta habari upande wake ni ule.
 
Jamaa wamekata mawasiliano yote hata balozi haziwezi wasiliana na outaide world
 
Ya Iran hatuyapambanii, bali tunayafuatilia, ya kwwtu hayatuhusu tena yamechukuliwa na kikundi cha wachache.
Acha tufuatilie ya wenzetu.
Hata ndege iliyo tekwa na mkulima haikuhusu?
 
Hehehehe[emoji16][emoji16]
Iran hali ni mbaya

Tutarajie maafa zaidi
Hali Mbaya Gani IRAN Imerejea Katika Hali Yake Yakawaida Walotarajia Hayakufanikiwa


IRAN Net Imerejelea Kama Kawaida Poleni Sana
 
Back
Top Bottom