Alichosema Dr. Norman Finkelstein ambaye ni Myahudi kuhusu Sera ya Mambo ya Israel

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Huyu jamaa ni Myahudi ambaye amefanya utafiti kuhusu taifa la Israel kwa miaka mingi sana. Siku zote huwashinda wapinzani wake kwa hoja nzito ambazo amezifanyia utafiti wa kina. Anajiamini sana na anafahamu vizuri sana anachokisema.

Hapa alikuwa akihojiwa kwenye BBC HardTalk:

Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
 
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu.

Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Natamani kujifunza mengi kupitia hii hoja yako, naomba uiweke vizuri hoja yako juu ya wayahudi na kufanya makafara na mapatano na shetani, unaweza kuiweka katika fact katika maana ya kutaka kuelewa juu ya hicho?
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Natamani watu wawaelewe WAYAHUDI Kupitia Wewe Ila Najua Hawatakaa Wakuelewe
 
Kwa mtazamo wangu hao jamaa mafanikio yao yote katika engo zote ni juhudi binafsi tu ndio zinazo weza kutoa Matokeo mazuri au mabaya na itategemea na malengo yako.

Kwenye kujisimika kwa maana ya kung'ang'ania mahali sioni kama ni hoja sana ,sababu hapa nchini kwetu (mfano) Wawekezaji wanapokuja hawaji na bunduki.Tuna wakaribisha wenyewe na kuwasimika kwa kuwapa/kuingia nao Mikataba Mibovu.Ikija kugundulika tunaanza kuwalaumu wawekezaji na kuwaita ni wanyoji (Mabeberu) nk.

Hayo ya Ibada za Kishetani haituhusu kwa Sababu ni Imani zao waamini wanacho amini ilimuradi Imani yao haileti Athari kwa Raia wengine its fine ..
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Hii ya kusema wayahudi ndo wanaaamua nani awe rais wa marekani mnalishana matango pori ninachojua wana organization yao ambayo ina ushawishi na siyo kwaajili ya marekani bali kuunga mkono maslai ya Israel ndani ya marekani.
 
Wana very powerful lobby inapofika wakati wa uchaguzi kule Marekani na kwa kiasi fulani ina-influence the way people vote.

Kama wamekuwa na uwezo wa kuifanya Marekani iwe na special policy amicable to Israel as a country then ina maana wana ushawishi mkubwa kwenye chaguzi za Marekani. That cannot be ignored.
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Kwani hao watu wengine wamekatazwa kuwa na mafanikio majungu sio mtaji
 
Waterloo wayahudi wana mchango mkubwa wa nani anakua rais wa marekani simply through lobbying.
Ujue marekani ndiko chimbuko la ulokole,
sasa walokole wanaamini kuwa,ATAKAEILAANI ISRAEL NITAMLAANI,

Sasa haka kasentensi ndipo wayahudi huchukulia point, wapiga kura wa Marekani asilimia kubwa ni walokole ama walokole jina. Sasa Wayahudi huwa wanaangalia mgombea yupi anaweza kujali maslahi ya Israel, wakimuona ni fulani wao ndo wanapeleka lobbying na sasa walokole wakiona wayahudi wanamtaka fulani na wao wanaegemea huko na kumpa kura.

Sasa hiyo ndo maana wagombea wote huwa wanajitangaza kuisupport israel lakini anayetoa ahadi za waziwazi za kuisupport Israel mfano Trump alipotangaza kuhakikisha Jerusalem unakua mji mkuu wa Israel, aliungwa mkono na Sheldon Anderson ambaye ndo Myahudi Kingmaker wa Marekani, na hivyo walokole kama wote walipiga kura kwa Trump,juu anasupport israel na hivyo walokole nao waNasupport ili kujikatia free pass ya kuingia mbinguni.
 
Malcom Lumumba,
Nimemsikiliza, Ameonyesha upeo finyu wa kufikiri. Alichofanikiwa ni kuchagua maneno yenye kuvutia katika kudhihaki lakini ameyatumia pasipo stahili.

Anaongea kama aina ya mtu asiye na ndoto wala mipango yoyote maishani, mtu mbinafsi, Arrogant, mentaly skewed asiyejali hisia za mtu.

Anakataa kufafanua swali la mtangazaji kuhusiana na kiwango cha Maadui ambao wanaizunguka Israeli ili kuleta insight.
Analaumu kua inapigana vita nyingi bila details za hizo vita. Jamaa ni mbora kwa dhihaka lakini hafai kuzingatiwa. Ni kama comedian fulani.

Hafahamu kua Iran kua inapigana vita na wanafadhili Hamas kwa muda wote huo.
Anaonyesha hana anachoamini katika yote anayoyaongea, amesimamia motion yake tu. Haumizi kichwa katika kufafanua, na hataki kumsikiliza Mtangazaji. Amechagua kukosoa na kulaumu tu.

Hakuna kinachonishawishi kua alimudu hii "Hardtalk". Kwasababu hakutaka kujibu maswali.
 
Ungejiuliza sasa kwanini wanachukiwa na kutimuliwa kila wanakokwenda
Kwa sababu wanaakili na hawashobokei tamaduni za watu wengine, wamekaa ulaya almost millennium lakin hawajaacha tamaduni zao

Wazungu wanataka mufuate tamaduni zao Jews huo mda hawana, ndo maana hats waarubu wanachukiwa na wazungu Kwa sababu hawako tayari kuacha tamaduni zao
 
Ok mbona Bado hata pale middle east ambako ndio kwao na wanafuata tamaduni zao lakini bado wana maadui kila pembe ya taifa lao?

Kwani ni wayahudi tu wanaofuata tamaduni zao kokote kule wanakokwenda??,mbona wahindi,wajapani,wachina,wakorea na waingereza hawajawahi ziacha tamaduni zao popote pale wanapokwenda kuishi na bado hawachukiwi na kutimuliwa kama hawa wayahudi?
 
Unajua Israeli ndo taifa pekee middle east lisilokuwa na majority Muslims, hata kipindi cha mtume mohammud wao ndo waliompinga wazi wazi Kwa mantiki hiyo watapendwaje
 
Ok mbona Bado hata pale middle east ambako ndio kwao na wanafuata tamaduni zao lakini bado wana maadui kila pembe ya taifa lao?
Kwani ni wayahudi tu wanaofuata tamaduni zao kokote kule wanakokwenda??,mbona wahindi,wajapani,wachina,wakorea na waingereza hawajawahi ziacha tamaduni zao popote pale wanapokwenda kuishi na bado hawachukiwi na kutimuliwa kama hawa wayahudi?
Hapo middle east sababu wanachukuliwa kuwa wamevamia maeneo ya watu japo enzi na enzi zilizopita ilikuwa sehemu yao

Mambo ni mengi na sababu ni nyingi japo mm sizijui zaidi

Mambo ya kushetan kila jamii inayo tu hata huku kwetu tunageuza watu misukule na tunaua albino mbona fresh tuu

Wivu tu wa watu mm siwachukii wayahudi wala jamii yoyote
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Halafu wamemkataza kuingia Israel ijapokuwa naye ni Myahudi. Alichokifanya Norman ni freedom of speech! Hilo likmfanya apigwe ban kuingia Israel. Ajabu Israel inajiita ni nchi ya Democracy.
 
Ok mbona Bado hata pale middle east ambako ndio kwao na wanafuata tamaduni zao lakini bado wana maadui kila pembe ya taifa lao?
Kwani ni wayahudi tu wanaofuata tamaduni zao kokote kule wanakokwenda??,mbona wahindi,wajapani,wachina,wakorea na waingereza hawajawahi ziacha tamaduni zao popote pale wanapokwenda kuishi na bado hawachukiwi na kutimuliwa kama hawa wayahudi?

Chuki dhidi ya Wayahudi kwa hapo Middle east inatokana na Dini ya Uislamu. Uislamu unaamini kuna siku itafika waislamu watawaua wayahudi wote duniani pamoja na nguruwe. Kwahiyo hii kwao ni ishara ya Ushindi. Hawawezi kuacha kuwachukia. Nje ya dini, wanaelewana vizuri sana. Soma na tafiti.

Wahindi wanabaguliwa vizuri sana hasa hapo UK. Nafikiri ungejiuliza vipi kuhusu mtu mweusi naye anatatizo gani? Maana yeye kila baya lilimshukia. Utumwa, Ubaguzi wa rangi, Ukoloni, Vita, umaskini, magonjwa, Njaa, Ukame, Ujinga, nk
 
Back
Top Bottom