Afrika Kusini: Watu 16 hutekwa nyara kila siku

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
636
1,842
JOHANNESBURG - Afrika Kusini.
Kumekuwa na wimbi la kesi za utekaji nyara nchini Afrika Kusini, na takwimu zinaonesha ongezeko kubwa katika miaka ya hivi karibuni.

Hapo awali, walengwa wakuu wa uhalifu huo walitajwa kuwa watu matajiri lakini sasa hivi imeelezwa kuwa hata wasiokuwa na utajiri wamekuwa wakiwindwa na wanaotekeleza uhalifu huo.

Takwimu rasmi za polisi zinasema matukio ya utekaji nyara yamepaa kwa asilimia 139 katika muongo mmoja uliopita na inaonekana kuna mwelekeo wa kutekwa nyara kwa malipo ya haraka kupitia mfumo wa miamala ya kielektroniki.

Kulingana na takwimu za hivi karibuni za polisi, karibu watu 16 hutekwa nyara au kutekwa nyara nchini Afrika Kusini kila siku.

Sio mara zote watekaji wanahitaji fedha za kukomboa wahanga.


Chanzo: eNCA
 
Unamaanisha kwamba kama watanzania hili wimbi la utekaji liliisha hivi karibuni lilitotua mapovu twende tukajionee mambo south africa au nini?
 
Back
Top Bottom