International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia...
8 Reactions
104 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74. Watu wengine watatu waliokuwa...
0 Reactions
3 Replies
560 Views
Namibia imempoteza Rais wake, Hage Geingob ambaye amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu ya Saratani hospitalini katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek. Taarifa ya Makamu wa Rais wa...
11 Reactions
63 Replies
5K Views
Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa. Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake...
17 Reactions
272 Replies
23K Views
Henry Kissinger, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani ambaye alikimbia Ujerumani ya Kinazi akiwa kijana na baadaye kuwa mmojawapo wa watu wenye ushawishi...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
President's brother passes away: Sheikh Mohammed bin Rashid, prominent Emiratis mourn death of Sheikh Saeed The Arabic hashtag for 'Saeed bin Zayed' and other related keywords were on the trending...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Martti Ahtisaari Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari, ambaye alikuwa mpatanishi mashuhuri wa amani, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Martti ambaye pia alikuwa ni mshindi wa Tuzo ya...
0 Reactions
7 Replies
884 Views
Chifu Mangosuthu Buthelezi, Muanzilishi na kiongozi wa muda mrefu wa chama cha Inkatha Freedom Party(IFP) amefariki dunia Jumamosi ya leo, Septemba 09, 2023. Buthelezi alianzisha IFP na baadae...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
RIP Kevin Mitnick Mdukuzi aliyegeuzwa kuwa mshauri wa usalama #KevinMitnick amefariki saa 17 zilizopita akiwa na umri wa miaka 59. Alikuwa na saratani ya kongosho. Kifo cha Mitnick...
4 Reactions
5 Replies
849 Views
Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto. ====== Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86...
15 Reactions
56 Replies
5K Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Italy na Tajiri namba mbili nchini humo ndugu Silvio Berlusconi amefariki dunia leo hii 12/06/2023 Berlusconi ambaye alikuwa ni mmiliki wa vyombo vya habari na timu ya AC...
2 Reactions
11 Replies
718 Views
Taarifa kutoka kwenye vyombo vya Habari vya kimataifa zinaeleza kwamba Waziri Mkuu wa Zamani wa Italia na Mmiliki wa Timu ya soka ya AC MILAN Silvio Berluscon amefariki Dunia Jijini Milan Chanzo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwana siasa na Meya wa zamani wa jiji la Cincinnati, Ohio Gerald Norman Springer aliyejizolea umaarufu kupitia kipindi chake cha Jerry Springer, amefariki dunia. Jerry Springer ni mwenyeji wa...
1 Reactions
6 Replies
546 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mbaya ya kuhuzunisha kutokea Kigali Rwanda Pitia taarifa kamili hapo chini;- Last independent journalist in Rwanda, Ntwali John Williams has been eliminated. On...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Pope Benedict XVI has passed away at age 95. He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate. In recent years, he lived in a small monastery...
9 Reactions
170 Replies
8K Views
Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu...
2 Reactions
123 Replies
12K Views
Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96. Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa Khalid ni Mwanahabari wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom