Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Picha meli mbili kati ya tatu zikianza kuondoka katika bandari ya Kerch hapo jana, tarehe 17.
Mbabe RussiaPicha meli mbili kati ya tatu zikianza kuondoka katika bandari ya Kerch hapo jana, tarehe 17.
View attachment 1265582
***** show ya kibabeMeli hizo tatu za kivita pamoja na wanamaji 24 wa ukraine zilitekwa na manowari za russia mwezi november 2018 zikiwa katika black sea kwa madai kwamba zimeingia katika himaya ya russia.
Mwezi wa tano, baraza la usuruhili la migogoro ya baharini la UN liliamuru Russia kurudisha meri hizo lakini iligoma,mwezi wa tisa mwaka huu wanamaji 24 waliotekwa walirudishwa baada ya maafikiano kati ya russia na ukraine ya kubadirishana wafungwa wa kivita.
Haya yanatokea wakati President Trump akiwa anakabiliana na tishio la kuondolewa madarakani kwa madai ya kutaka kutumia rushwa kumshawishi Rais Mpya wa Ukraine kuanzisha uchunguzi dhidi ya mtoto wa Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Joe Biden kabla Marekani haijatoa msaada wa fedha na kivita kwa Taifa la Ukraine ili kuliweza kukabiliana na vitendo vya kivita vya Russia.
Kwani wenyewe hawajipendi au unataka turudi zama za UJIMAmi nilijua nato,wamevamia kijeshi russia na kuzichukua meli za ukrain kinguvu...
Bado wanatamani kuishi aseeee [emoji3][emoji16]mi nilijua nato,wamevamia kijeshi russia na kuzichukua meli za ukrain kinguvu...
sana!maana nasikia jamaa ana makombora mazito,ambayo NATO nzima ya ulaya hawawezi himili peke yao,ndio maana USA ana wahami sana..Bado wanatamani kuishi aseeee [emoji3][emoji16]
nasikia ulaya nzima peke yao bila USA ,hawawezi himili mashambulizi mazito ya Russia...
Kama urusi wangekuwa ni KJ kusengekuwa na haja ya uwepo wa NATOUrusi ni kubwa jinga mkuu.
LABDA BABA AKO MSHENZI WEWEUrusi ni kubwa jinga mkuu
DuuuuLABDA BABA AKO MSHENZI WEWE
LABDA BABA AKO MSHENZI WEWE