Mwagito84
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 235
- 707
Juzi nimekwenda kulala nikiwa na MB 860..........nimeamua asubuhi na washa data baada ya kuwasha data na pata ujumbe umebakiwa na MB 197 nikachoka kabisa......baada ya dakika 10 hivi nikiwa naperuz bila kupakia chochote na pata sms nyingine umebakiwa na MB 43.
Nikajiuliza Mbona bando la mtindo huo huo kipindi cha miezi sita iliyopita lilo kuwa lina nichachia. ......what went wrong....harafu promosheni nyingine bwana eti umepata dakika 4 bule kupiga simu BLAZIL na CHINA.
Aliyewaambia nina ndugu huko nani?