Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Wakuu kuna wale wadaiwa sugu wa HESLB,wameshakamatwa kama walivotangaziwa na kupewa muda wa kujisalimisha ili waweze kuanza kurejesha pesa walizonufaika?
Najiuliza hivi serikali inapoteza pesa kiasi gani kutoka kwa watu walionufaika na pesa za mikopo?
Wanufaika wapo mtaani wameamua kujiajiri na hapo hapo serikali inawataka wajisalimishe ili waanze kurejesha pesa za mkopo,ivi inaingia kichwani kweli kuwa MTU anapata tuseme 20000 kwa siku baada ya kujiajiri halafu ajipeleke HESLB ili aanze kurejesha hizo pesa alizonufaika?
Jibu ni kwamba hakuna mjinga wa aina hiyo. Na bahati mbaya serikali inaona ni sawa tu kusomesha vijana halafu haiwaajiri licha ya kutumia gharama kubwa.
Tamko kutoka kwa wanufaika wa mkopo wa HESLB.
"Tunataka heslb wavue mashati wajipange barabarani ili waandamane kama tulivyofanya wanufaika mikopo wakati tunasoma,Pesa haturudishi"
Na bahati mbaya sana dhamana tulizoweka hazipo. Mimi niliweka dhamana ya mashamba ambayo kiukweli hayapo(Hewa).
Kwa mukitadha huu,vijana masikini wanategemea kurejesha pesa hizo pindi wakiajiriwa.
Kwa ufupi heslb mwafaaa.
Nichagueni mimi 2020
Kwa ajira kedekede kwa wadaiwa sugu.
Heslb mwafaa.