Hashtag Zilizojipatia Umaarufu Miongoni mwaWatanzania wanaotumia Mitandao ya Kijamii.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,736
tangu "ilkusudi" aingie mjengoni,kumebuniwa hashtag mbalimbali na jamii ya watz wanaotumia mitandao ya kijamii.

mojawapo ya hashtag zilizojipatia umaarufu kwa siku za hivi karibuni ni # chatosiodar # pombesiochai # mwafa na # usirudiekosa2020

weka hashtag zingine ambazo zinakuja kwa kasi ktk umaarufu.
 
#Mboweturudishiebensaanane#
Ila hii ndio kwanza naiona Leo.halafu nahisi hapo kwenye jina mbowe ilipaswa liwepo jina la mtu mmoja maarufu sana pale mitaa magogoni.

kwa kuwa wewe ni muoga sana,huwezi liweka jina hilo.
 
Ila hii ndio kwanza naiona Leo.halafu nahisi hapo kwenye jina mbowe ilipaswa liwepo jina la mtu mmoja maarufu sana pale mitaa magogoni.

kwa kuwa wewe ni muoga sana,huwezi liweka jina hilo.
Mimi naijuwa hiyo mkuu kwa hiyo samahani sana usinilazimishe niijuwe nyingine tafadhwali
 
[HASHTAG]#munguwadarisalama[/HASHTAG]
[HASHTAG]#sijonze[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tunamtakabensaananeakiwahai[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom