Ruvuma nao waanza vita kali dawa za kulevya,Wawili wakamatwa kwa kumiliki shamba la bange ekari 8

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
504
-Mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Dr.Mahenge kutangaza vita kali dhidi ya dawa ya kelevya,wawili wakamatwa na jeshi la Polisi huko wilaya ya Nyasa wakiwa wamelima bange ekari 8.
-Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alitangaza vita kwa wanaoshiriki kutumia au kuuza madawa ya kulevya.
-Alifanya mkutano mkubwa na watendaji na wenyeviti wa mitaa Mkoani Ruvuma wiki moja iliyopita.
-Walikuwepo pia mkuu wa wilaya ya Songea na Mkuu wa Polisi Ruvuma.
-Walitoa namba zao za simu kwa watendaji ili kutuma majina,sauti,nk ya watumiaji na wauzaji.
-Wilaya za Madaba na Songea zatajwa kuwa vinara kwa kilimo cha bange
-Wasisitizwa wasimuogope mtu.
-Vijiwe baadhi maarufu kwa uuzaji na uvutaji bange Songea vyatajwa
-Wadau wasema wanayafaham mashamba ya bange na wakulima watawataja
 
Mimi nataka nisikie wamekamata wa importer wa cocaine na heroine siyo mmea.
Mmea poa tu
 
Wanaosema bangi ni madawa ya kulevya hawana tofauti na wale wanaosema kondoo ni mbuzi.
 
Back
Top Bottom