Sijasikia hata dalili za MTU kunusanusa kifo. Ila pombe Kali km viroba na chang'aa zimepigwa marufuku. Sijui atauza nini? Ila iko HV. Lusekelo ni noma,atabadilisha msemo aseme kwakuwa serikali imepiga marufuku uuzaji wa chang'aa haitakuwa na maana wale watu kufa wakati chang'aa Imepigwa marufuku. Atamuuzia nani? Mungu c mjinga.watashindanaaaaaa...........
Watu Fulani humu ndani mna penda kuongea vibaya kuhusu yule mchungaji....sijui mnajisikiaje?
Nakumbuka aliongelea kwa neno KAMA....ila akasema anamwachia Mungu yeye kasemehe
...sasa wabongo wameshikilia ile KAMA....
Alitengua utabiri na kusema amewasamehe baada ya kuona hatakufa mtu zaidi yake yeye mwenyewe.Eti alisema ubavu wa kuwaombea kifo anao ila kawasamehe bure.Nilicheka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.