Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuanza kupandikiza Figo ifikapo May 2017

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Taarifa iliyotolewa na Dr Edgar Swali kwa umma kuwa Hospital hiyo ya Taifa imepeleka Madaktari 20 nje ya nchi kuongeza maarifa ya jinsi ya kupandikiza figo.

Gharama za kupeleka wagonjwa wa figo nje ya nchi kwa kupandikizwa ni kubwa sana hivyo Serikali itapata nafuu ktk kuwahudumia wanainchi wake na kuelekeza rasilimali zake ktk Huduma zingine.

Tunawaombea watoa Huduma wote wa afya kwa kazi kubwa wanazofanya ktk kuhakikisha afya za watanzania zinakuwa za ubora wa hali ya juu.

Serikali toka ya Dr Kikwete mpaka ya Dr Magufuli wamekuwa wakiboresha hatua kwa hatua Huduma za afya hongera kwao.
 
Back
Top Bottom