tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,945
Enyi wataule wa Rais, jitahidi sana mkumbuke kuwa maisha ni njia sote tunapita, mmejivika Uungu Utu, mmesahau kuwa yote mapito, walioko chini yenu mmewageuza madekio kisa muonekane mnafanya vyema mbele ya Rais, ipo siku hamtakuwa tena wakubwa, msisahau nyuma yenu kuna vizazi vyenu na mnayowatendea wengine hata kama nyie hamtatendewa basi wajukuu na vitukuu wenu watatendewa. Jirekebisheni nyote mnaojiona mmefika kumbe ni njia tu!