SEGUZO JF-Expert Member Sep 30, 2016 280 198 Mar 8, 2017 #1 Wana jamvi, naomba kudadavuliwa ikiwezekana Kitaalamu tatizo la umeme kukatika ikianza kunyesha mvua na hata jua likiwa kali.
Wana jamvi, naomba kudadavuliwa ikiwezekana Kitaalamu tatizo la umeme kukatika ikianza kunyesha mvua na hata jua likiwa kali.
famicho JF-Expert Member Jul 29, 2015 2,191 2,857 Mar 8, 2017 #2 Mkuu huenda mitambo ya eneo ulilopo tu, huku kwetu mvua zinanyesha tena za nguvu sana ila umeme hujawahi kukatika kwa sababu ya mvua au jua kali.
Mkuu huenda mitambo ya eneo ulilopo tu, huku kwetu mvua zinanyesha tena za nguvu sana ila umeme hujawahi kukatika kwa sababu ya mvua au jua kali.