Dar kuna wingu kubwa lakini mvua hainyeshi

GISAMBO

JF-Expert Member
Mar 14, 2014
1,186
1,909
Huwez amin na wingu lote hili Akuna mvua ya maana itakayo nyesha nawaonea huruma watu wanakimbizana buree
 
Dar saa tatu asubuhi giza kama usiku.
Inasubiri wa mabondeni wamalize kuhama iporomoke
 
Au leo ndio siku ya mwisho kwa Bashite kuwa RC ndio maana kuna wingu kubwa
 
Mada ya ajabu haijawaki kutokea... naomba nirudie Mada ya ajabu haijawahi kutokea( Lissu Voice) Umesahau kuwa huku ni Jf na siyo Fb?
 
Habari wanajamvi. Mvua inayonyesha Dar leo sio ya mkoa huu, yaani tutarajie maafa hasa kwa ndugu zetu wanaokaa mabondeni na karibu na kingo za mito kama hawakuhama.
 
Neema za bwana...baaada ya wa chuuzi kuficha sukari na unga sasa tuitumie mvua kulima kwa wingi kadili ya uwezo wetu.Mungu ibariki Tanzania na serikali yake bila kumsahau mkuu wa mkoa wetu wa Dar bwana Makonda.
 
Back
Top Bottom