Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
“Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeipa kibali EFM kwenda mikoani na tunaingia kwenye mikoa tisa. Hiyo ndio habari kubwa ambayo mkurugenzi wa EFM alitaka kuzungumza na wananchi hii leo ni kwamba tumepewa ridhaa ya kwenda kwenye mikoa tisa. Mikoa hiyo ni ifuatayo Mbeya, Tanga, Mwanza, Mtwara, Manyara, Singida, Kigoma Tabora na Kilimanjaro.”
My take
Hii itakua ni pigo kwa clouds fm, kwani E fm walikuwa wanasikika Dar tu na walikuwa wanahenyeshwa na Efm!
Kila la kheri E fm
My take
Hii itakua ni pigo kwa clouds fm, kwani E fm walikuwa wanasikika Dar tu na walikuwa wanahenyeshwa na Efm!
Kila la kheri E fm