shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 671
- 1,426
Wapinzani wa tz,wamekosa au wanakosea nini haswa kiasi kwamba hawawezi kuamina kupewa nchi,najua wapinzani wa bongo hawapendi kuwekeza ktk maeneo ya vijijini wakiogopa matope na vumbi,ugomvi ndani ya vyama na mengineyo mengi,najiuliza hizi nchi za kiafrica zilibadilisha vyama zilifanya vitu gani vya ziada mpaka utawala ukabadilishwa,sababu ya kuwaza Hivi ni kuwa chama tawala wanatudharau sana kwa vitendo vyao na maneno ni dhahiri wameona kuwa wtz hawana mbadala.
Think of Ghana,chama kilichotolewa madarakani siyo kwamba kilikuwa kimevurunda kihivyo sema tu waghana waliamua kubadilisha,naomba kuelimishwa why is so difficult for Tanzanians to trust an opposition political party to take all the affairs of the nation.
Najua Faida kubwa tutakayopata pia ni kuwa tutabadiliaha kiasi Fulani familia tajiri kwani mabalozi,rc,DC na wengineo watabadilishwa na kuwa na loyal and noble families tofauti na sasa ambapo watu kama akina Asha Migiro wanaula hadi uzeeni.