Kutoa taarifa kila mwezi ulikua itashi wao ila sheria zinawataka watoe takwimu kwa miez mitatu mitatuHabari wanajamvi.
Tulizoea kutangaziwa kila mwezi mafanikio ya TRA katika makusanyo ya kodi na kutangaza katika vyombo vya habari kiasi kilichokusanywa.
Ni miezi kadhaa sasa siyasikii matangazo yale.
Je, ni mimi siyasikii au hayatangazwi siku hizi?