Jumba refu zaidi Afrika mashariki lipo Tanzania!

Rabboni

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
1,085
1,564
Nairobi acheni mayowe...

24f7f5084fadef63c4cb2b0d6e040eae.jpg


PSPF Tower mpaka sasa ndio jengo refu zaidi Afrika ya Mashariki.

Lina urefu wa mita 147.
 
Lipo bongo kalibia na yale majengo pacha mapya na ile cathedral ya st.Joseph
 
Kuuumbeee
Tusiwafanye mfano wa kc
Isitoshe cc tz ndo tuna master cty ya kisasa zaid yao ( kgambon na kawe cty )
Tuna daraja refu zaid yao ( nyerere bridge )
Tunajenga flyover tatu za juu na zna round abt
Tunajenga daraja la 7km , 6km litapita majn while 1km nchin ( new surrender bridge )
Barabara za Mwendo kasi mpaka kesho wanajiuliza tulianzaje na tumewezaje
 
Unajua kusoma? kilichooandikwa umekielewa au unajibu na shisha .
tatizo ujajua niliyemlenga ni nani......habar za shisha tena zinatokea wap ....kiswahili kipana jiongeze kisha kajiandae .....usilete izo mambo kila comment nimeipitia na kuielewa
 
Back
Top Bottom