CCM ni chama kisicho na mtazamo na kimekosa Dira tume ya kurekebisha Katiba ilipokuja na Hoja ya ser

KISHUZILAINI6

Member
Dec 16, 2016
15
3
CCM ni chama kisicho na mtazamo na kimekosa Dira tume ya kurekebisha Katiba ilipokuja na Hoja ya serikali tatu wao wakaipinga kwa kuangalia maslahi ya wanadamu na ninadhani wengine walisahau kuwa binadamu leo upo kesho haupo ila katiba itadumu vizazi hata vizazi, suala la uchaguzi wa zanzibar wamelichukulia poapoa kwa kudhani wanakomoa wapinzani leo maji shingoni mnasema sintofahamu,sintofahamu gani kwani hawakujua madhira ya matendo yao.

Tatizo lao FAFAFAFAFA ndio wanapewa nafasi ya kusikilizwa wajuzi na wenye hekima wanafichwa mifukoni utadhani Condom.wazanzibar waombe tu talaka yao.wafanye mambo yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom