Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

Ulianza vizuri lakini umeweka maneno yako Biblia inakataza mwamaume kuvaa mavazi yampasayo mwanamke and vise versa hayo mambo ya Suruali ni yako maana ziko Suruali za kike hazina shida kwa mwanamke
 
Asante mkuu
 
Kwa hiyo kuna magauni ya wanawake au? Suruali ziko kwa ajili ya wanaume ila kutokana na wanadamu wanavyobadili mambo ndiyo maana leo unaona wanavaa.
 
Jiwe limerushwa gizani! Pole sana
 
Kwa hiyo kuna magauni ya wanawake au? Suruali ziko kwa ajili ya wanaume ila kutokana na wanadamu wanavyobadili mambo ndiyo maana leo unaona wanavaa.
Nashukru sana kwa ufafanuzi huo atakuwa kakuelewa mdai aliyepingana na mm.
 
Ulianza vizuri lakini umeweka maneno yako Biblia inakataza mwamaume kuvaa mavazi yampasayo mwanamke and vise versa hayo mambo ya Suruali ni yako maana ziko Suruali za kike hazina shida kwa mwanamke
Mwanamke kuvaa suruali tena ha ha aha haha hata km za kike kwangu marufuku
 
Kwa hiyo kuna magauni ya wanawake au? Suruali ziko kwa ajili ya wanaume ila kutokana na wanadamu wanavyobadili mambo ndiyo maana leo unaona wanavaa.
Kanzu na gauni havitofautiani unajua hilo ila hii inaitwa Kanzu hii inaitwa Gauni sasa leo mwanamke akivaa kanzu utamuambiaje si gauni?
Hivyo hivyo suruali haikuwahi kuwa ya mwanaume ziko za kike na za kiume pia
 
Kanzu ni kanzu na gauni ni gauni,,,msihalalishe matumizi tofauti na uhalisia kwa kufurahisha mioyo yenu,,,lah hakuna mwanamke anaevaa kanzu,na kanzu sio gauni na mwanamke kuvaa suruali ni ubatili
 
Tofauti ni nini ya Kanzu na Gauni hebu nieleweshe
 
Back
Top Bottom