MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 613
Wakuu kama sikosei mwezi uliopita alisikika Mchungaji Anthony Lusekelo
kwenye ibada ya jumapili kanisani kwake huko ubunge kibangu, akimtolea povu Msanii Emanuel Elibariki aka Nay Wa Mitego
, kisa ni Nay kusema: nitajenga kanisa la kuabudu watu wote.
Mzee Lusekelo alienda mbali na kuthubutu kusema Mtoto Nay atakufa ndani ya miaka mitatu.
Ninacho uliza sasa kwani Makanisa ya wakiristu yanajengwa na watu maalum?
Je ukristu unasemaje, kuhusu kumchulia binadamu mwenzako kifo?
Je tabia hii ya mchungaji huyu ni MAONO au niakili zake? Coz sio mara yake ya kwanza, hata waandishi wa habari aliwahi kuwachulia kufa.
Mwisho nauliza Je kisheria sikosa kumuambia mtu utakufa ndani ya miaka mitatu?