Sasa wameanza kupata akili nadhani wanakuwa watu wazima, imeaminika anayekosoa ni mpinzani kitu ambacho si kweli, watawala wakiamka leo anatoa tamko tu na nyie mnafuata kwa maumivu ya kufirisi mpaka kujiua, watawala wakiona wakikurupuka na matamko tunapiga kelele kwa pamoja watatushirikisha na kutupa muda na ushauri ili kuboresha ili kama kuna madhara tuyaepuke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.