KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Mh nimesema hivyo kutokana na kile kilichosababisha kuifungia kona baa basi hauna budi kuifungia LA CHAZ PUB kwani kilichosababisha kufungwa kona baa ndo kimehamia LA CHAZ PUB usipo fanya hivyo basi ifungulie kona baa wafanye biashara kwani wana leseni halali na wanalipia kodi..kama issue ni dawa zakulevya ufuska kuna makachero wengi na wewe ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wakinondoni,hivyo huna sababu ya kufungia baa!tafuta mbinu mbadala!. Mh Ali Hapi tunaona kilichoisabisha kufungiwa kona baa ndo kinafanyika LA CHAZ PUB Je na yenyewe utaifungia?Ni hayo kwa leo.