NyaniMzee
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 396
- 727
Nadhani sisi watumiaji wa barabara ni mashuhuda wa jinsi barabara kubwa zilivyoharibika kwa kupitisha magari yenye uzito mkubwa. Mimi in mtumiaji wa barabara hiyo kila siku. Imesaidia sana kwa wale wanaoitumia kwenda katika shughuli za kila siku. Kinachonisikitisha ni kuwa kwa sasa kuna semi trailers nyingi zimeamua kutumia barabara hii kukwepa foleni ya Morogoro Road. Wahusika amkeni msikomae kutupiga speed camera tu okoeni hii barabara. Nadhani Max load kwa hii barabara ni tank 10 tu. Pesa zetu za kodi zinateketea wakati bado haijazinduliwa.