Jamani rahaaaa sio rahaaa?#tbt

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,914
1,977
NINA NIA YA DHATI KABISA
KUGOMBEA URAIS WA
JAMHURI YA MUUNGANO
WA TANZANIA 2010.
Mambo nitakayowafanyia
1.Nitawachekea chekea ili
mnipigie makofi
2.Kila mazishi nitahudhiria
3.Nitapiga picha na wasanii
wa mamtoni na waigizaji.
4.Kama una umbo namba 8
nitakuweka bunge wa viti
maalum au
mkuu wa wilaya.
5.Nitaenda kupanda farasi
kila mwisho wa mwezi
mamtoni
6.Mabomu na vurugu
zikitokea napanda pipa
huyooo mamtoni.
7.Mke wangu atakuwa na
mamlaka
8.Kijana wangu atakuwa
kama mheshimiwa na
lazima nitampatia
mali ya kifisadi.
9.Nitapanda pipa nivunje
record kama Marco Pollo
aliyesafiri
ulimwengu mzima kwa
utafiti wa jiografia.
10.Nikitaka kutoa hotuba
nitawaita wale wazee wa Dar
es salaam
wasiojielewa..
*Nina nia ya dhati mtanipa
kura niingie Ikulu?*
 
NINA NIA YA DHATI KABISA
KUGOMBEA URAIS WA
JAMHURI YA MUUNGANO
WA TANZANIA 2010.
Mambo nitakayowafanyia
1.Nitawachekea chekea ili
mnipigie makofi
2.Kila mazishi nitahudhiria
3.Nitapiga picha na wasanii
wa mamtoni na waigizaji.
4.Kama una umbo namba 8
nitakuweka bunge wa viti
maalum au
mkuu wa wilaya.
5.Nitaenda kupanda farasi
kila mwisho wa mwezi
mamtoni
6.Mabomu na vurugu
zikitokea napanda pipa
huyooo mamtoni.
7.Mke wangu atakuwa na
mamlaka
8.Kijana wangu atakuwa
kama mheshimiwa na
lazima nitampatia
mali ya kifisadi.
9.Nitapanda pipa nivunje
record kama Marco Pollo
aliyesafiri
ulimwengu mzima kwa
utafiti wa jiografia.
10.Nikitaka kutoa hotuba
nitawaita wale wazee wa Dar
es salaam
wasiojielewa..
*Nina nia ya dhati mtanipa
kura niingie Ikulu?*
umetishaa
 
Lets deal with Present tense.....Hayo mengine ni mkwamo wa maneno............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom