Kuna madai au imani iliyojengeka kuwa Watanzania au Waafrika kwa ujumla ni wavivu. Dhana hiyo inanipa shida kwani naona watu wengi wanahangaika sana ili kukidhi mahitaji yao. Je ni kweli Wa TZ wengi ni wavivu au wanakosa tu mbinu?
Sio watanzania bali ni wewe! Iwe kwako kama ulivyo ona, kwani mdomo unaumbaKwa kitendo chako tu cha kutuuliza sisi hili swali umeshathibitisha Uvivu wetu Watanzania kwani ulipashwa baada tu ya kuambiwa hivyo basi ungefanya utafiti wako ili ujiridhishe na ukija humu JF uje na Hoja pingamizi au Hoja ukweli ili uweze kututoa Uvivu wetu.
Siyo watanzania bali ni mtanzania weweKuna watu wenye vichembechembe za kivivu duniani
Ila Tanzania ni baba ya wavivu
Mtanzania hata kuingia tu chooni kujisaidia anaona uvivu, na akiingia akishakaa kuamka ni baada ya nusu saa ama lisaa limoja sembuse kufanya kazi za kutumia akili au mikono?
Jamani! Haya mambo si walisnzisha wao? Nasi tutafika tu my brotherAngalia data za productivity za wafanyakazi duniani (nikizipata nitaziweka hapa). Hakuna nchi ya Africa in top 30.
Wenzetu kule wanalipwa kwa saa. Sisi huku ubabaishaji mtupu. Yes tuko wavivu, hatujali na tunategemea njia za mkato ili kutoboa. Ndiyo maana hata wasomi wetu wanakimbilia siasa kwenye utajiri wa dezo japo Magufuli kaziba mianya kwa sasa...
Hapana ni weweSiyo watanzania bali ni mtanzania wewe
Miaka si mingi "brain" tu ndizo zitafanya kazi ya kuendeleza "Artificial Inteligence (AI)". Kazi zote zitafanywa na AI! Je uvivu utasambaa duniani?Angalia data za productivity za wafanyakazi duniani (nikizipata nitaziweka hapa). Hakuna nchi ya Africa in top 30.
Wenzetu kule wanalipwa kwa saa. Sisi huku ubabaishaji mtupu. Yes tuko wavivu, hatujali na tunategemea njia za mkato ili kutoboa. Ndiyo maana hata wasomi wetu wanakimbilia siasa kwenye utajiri wa dezo japo Magufuli kaziba mianya kwa sasa...
Unaonaje ukienda kuwauliza hao wabobezi wa AI hili swali lako la wakati ujao? Hapo basi unajiona msomiiiii! Waafrika sisi yaani dah!Miaka si mingi "brain" tu ndizo zitafanya kazi ya kuendeleza "Artificial Inteligence (AI)". Kazi zote zitafanywa na AI! Je uvivu utasambaa duniani?
Hahahaaa kweli ulikuwa mvivu wa kufikiri mkuuUvivu pekee niliowahi kuugua maishani ni 1995, nilipoipigia kura CCM. Pale nilikuwa mvivu wa kutumia akili
Mimi sijamwita mtanzania mwenzangu mvivu na wala sija ilaani nchi yangu Tanzania! Kwa sababu najua fumbo la alaanie mabaya hayata kutoka na ashutumie mwenzie mabaya , yeye ndiyo alivyo...have a nice Sunday!Hapana ni wewe
Mkuu wangu, ukiandika majority 100% unamaanisha wote hadi wewe. Watanzania si wavivu ila ni fikra tu ndizo haziendani na fursa.Mie nathibitisha kwa asilimia 1000% , majority ya watz ni wavivu na wanapenda short cut., kuna minority pia ambao ni wachapakazi haswa!! Uwiii msinishambulie please.
Dah.... Mnajichanganya Sana... Uvivu ndiyo kichocheo kikubwa sana cha maendeleo kwenye jamii yoyote ile... Uvivu ni hali ya kutojisikia kufanya jambo fulani aidha kwa sababu ya ugumu au kuhitaji muda mrefu kufanyika..... Kama hutaona Uvivu kulima eka 20 kwa kutumia Jumbe LA mkono kwa mwezi mzima hutapata maendeleo kamwe.... Ila Ukiona Uvivu utatafuta njia rahisi na nafuu.. kwa kutumia plau au trekta...na maendeleo hupatikana hapa...Mie nathibitisha kwa asilimia 1000% , majority ya watz ni wavivu na wanapenda short cut., kuna minority pia ambao ni wachapakazi haswa!! Uwiii msinishambulie please.
Sio watanzania bali ni wewe! Iwe kwako kama ulivyo ona, kwani mdomo unaumba