Jamesmkude
Member
- May 18, 2015
- 60
- 69
Nimeona mmeanza kumtumia vizuri Will Smith. Star kama huyo atatusaidia sana kututangaza. Hata majirani wanao tumia mgongo wetu kupata watalii watatulia. Lazima dunia ijue kuna tofauti ya Tanzania na Kenya. Kwenye vivutio vizuri ni Tz na kwenye mawakala wengi wa utalii ni Kenya!!