Nywele zinanicheza....

Nywele zinanicheza....

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,854
Wakuu ni kama mara ya tatu sasa tangu asubuhi leo nywele (za kichwani 😉) zinanicheza/zinasisimka. Hii inaashiria nini kwa wale wenye uelewa juu ya haya mambo...au ndio u-rc dasalam unanukia wajameni mbona mi hata hanijui mtu?
 
Mwenzio Bashite zilimcheza akakimbila Sauzi.sikufundishi we jiongeze
 
Daud bashite atatumbuliwa,siku ...... zikicheza uniambie
 
Kumi na mbili zikianza kucheza nambie, najua maana yake ila kuhusu nywele sijui
 
tangulia kanisani ukalie mapema maana hali si shwari
 
Back
Top Bottom