WilliK10
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 601
- 283
Kuna mantiki gani kuingia ktk maghala ya wafanyabiashara na kufungia shehena za viroba zisiuzwe?
Utasikia wanasema tunasubiri tamko la serikali.
Tamko lipi? Si mlisema mwisho ni Machi 1?
Kilevi chochote kikitumiwa kupita kiasi lazima kitamuathiri mtumiaji. Hata bia pia.
Kinashongaza ni kuwa TFDA hawakutoa athari za kimatumizi na wako kimya mpaka leo, TBS waliidhinisha ubora, TRA wakapokea kodi.
Leo umeufungia usiuzwe. Wafanya biashara wemgi wamekopa benki kuendesha biashara zao.
Mnataka alipe vipi deni?
Ukisoma kitabu cha H. Covey cha " 7 habits of highly effective people" kinasema habit # 2 ni
"begin with an end in mind".
Maana yake ni kuwa "anza kutenda ukishapata picha halisi ya mwisho utakuwaje?"
Fikiri sana juu ya hatma ya maamuzi yako.
Hili suala tukubali, limekurupushwa sana.
Naamini [HASHTAG]#watajirudi[/HASHTAG].