Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Wakuu,
kuna kitu sijakielewa kinachohusu mitandao, na hasa Jamii Furums.
Nimeingia Jamii Forums kwa kutumia browser, kuna mahala nimeklik, nikakutana na maneno yanayoainisha aina za watumiaji,
kulikuwa na members,Guests, na Robots!
kulikuwa na aina tofauti za roboti, msn, yahoo, bing, na aina nyinginezo, na nimefuatilia na kuona maelezo ya baadhi ya threed zilizofunguliwa na hizo roboti!
naomba wajuvi wa mambo mnitoe tongotongo, hizo roboti ni za namna gani?
Naombeni Msaada wenu!