Timua timua wakazi wa mabondeni yaja

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
wana JF
Salaam
Siku moja baada ya madhara ya mvua kubwa iliyonyesha na kuonekana katika mikoa ya Daresalaam, Pwani, Morogoro, Ruvuma, Iringa na maeneo kadhaa ya nchi na watu kadhaa kuathirika na mvua, Serikali kupitia mamlaka zake za mikoa itaanzisha operesheni ya kuwaondoa wakazi wanaoishi mabondeni mikoani hasa mabonde ya Msimbazi na jangwani jijini Daresaalam ambayo ndiyo yanayoathirika zaidi kila mwaka, mojawapo ya madhara yaliyoletwa na mvua hizo ni watu kukosa sehemu za kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na maji ya mvua kubwa vilevile kupoteza thamani zao za ndani na mifugo kwa ujumla,aidha watoto kukosa kwenda shule kutokana na maji kujaa kila maeneo ya nyumba zao

Chanzo: Nipashe
 
Twafa..
 
sawa wahamishwe ila kuamishwa uko kwa kufata utaratibu au kwakuwatimua bla utaratibu wowote ule?
 
Wataenda mahakamani kuomba zuio kwa kushirikiana na wawakilishi wao.

Kikubwa kama hakuna sheria inayowazuia kuishi huko waachwe lakini waambiwe kabisa kwamba SERIKALI HAITAJIHUSISHA NA CHOCHOTE KITAKACHOTOKEA HUKO.
 
TATIZO PIA NI MIFEREJI NA MACHEMBA MENGI YAMEZZIBA HAYAPOKEI WALA KUPITISHA MAJI!

OVA
 
Back
Top Bottom