Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
=====================
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema anatarajia kuzungumza wananchi wa Jiji la Arusha Mjini siku ijumaa kupitia Mkutano wa hadhara utaofanyika katika Viwanja vya Shule Shule ya msingi Ngarenaro siku ya ijumaa tarehe 10. 03. 2017 kuanzia majira ya saa tisa mpaka saa kumi na mbili wananchi wote mnakaribishwa kwenda kumsikiliza Mbunge wenu Godbless Jonathan Lema.
ThubutuAchunge domo lake!
Mkulu hajaribiwi, akizingua kisongo itamuhusu
Ohoo sa hv ameshapembua ya kuongea na ya kuacha...chezeaa jela wwMsitegemee Kuropoka kwake kuliko zoeleka atarudia!!
Lazima aende na Biblia
Jamaa kamjua mungu baada ya kuingia Kisongo!!
Hahaha
kweli kila Mbabe na mbabe wake.
speach yake alitakiwa kuisoma tarehe 17 siku moja kabla ya uchaguzi wa TLS....hivi hamnaga watu wa kusoma flaw ya matukio huko CDMMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema anatarajia kuzungumza wananchi wa Jiji la Arusha Mjini siku ijumaa kupitia Mkutano wa hadhara utaofanyika katika Viwanja vya Shule Shule ya msingi Ngarenaro siku ya ijumaa tarehe 10. 03. 2017 kuanzia majira ya saa tisa mpaka saa kumi na mbili wananchi wote mnakaribishwa kwenda kumsikiliza Mbunge wenu Godbless Jonathan Lema.