Jinsi ya kuendelea kuwa masikini; Matokeo ndani ya miezi mitatu

Reagan Carima

Member
May 20, 2015
44
194
JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI

1.Usiamke mapema.

2. Usipange matumizi ya Pesa zako.

3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.

4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.

5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.

6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.

7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.

8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.

9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.

10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively
 
Bashite weka vyeti,jana wakaamua wamtumie yule anayejiita mdogo wake Gwajima ili kuwatoa watanzania kwenye hoja ya msingi. Bashite weka vyeti
 
Back
Top Bottom