Ushauri: Serikali ipige marufuku junk food

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Hongereni kwa kuzuia viroba ila tafadhali sana wakuu zuieni ma junk food haya, chips, burgers na makorokoro haya mtaani yanaleta afya mbovu kwa watanzania, yanaua nguvu kazi ya taifa. Please waziri wa afya pigeni marufuku ma chips mayai haya watu wale ugali na vyakula vya asili

Thank you sana.
 
Yaaani kama nguo zenu za asili, rangi zenu za asili, nyimbo zenu za asili, nywele zenu za asili, lugha zenu za asili n.k hamvitaki leo mtataka vyakula vya asili? kama uchumi wako umeyumba tuache sie tupate kiepe yai weka kila kitu usisahau pilipili alafu isikauke sana.
 
Asisahau tomato na mayonaise kidogo!
 
Yaaani kama nguo zenu za asili, rangi zenu za asili, nyimbo zenu za asili, nywele zenu za asili, lugha zenu za asili n.k hamvitaki leo mtataka vyakula vya asili? kama uchumi wako umeyumba tuache sie tupate kiepe yai weka kila kitu usisahau pilipili alafu isikauke sana.
Mungu wangu... angalia usije kulea watoto wamefanana na wajomba zao
 
Ila unazifata mwenyewe kwani unalazimishwa..mbona watu kibao wapo hawali hayo mavitu
 
From what evidence?kwa style hii ipo siku mtasema ugali unafifisha akili
Mkuu Ugali wa sembe ni hatari sana kwani fibres zote zimetolewa hivo unabaki unga wenye kuzalisha asidi kubwa tumboni ambayo ni mlango wa magonjwa mengi sana.
 
Kuondoa junk foods haiwezekani mkuu ila watu wapate elimu kuhusu athari za vyakula hivyo. Nakubaliana nawe kuwa ni vyakula hatari sana kwa binadamu. Kuna kemikali inaitwa APARTAME inayotumika katika hizo fast foods na vinywaji vitamu imegundulika kusababisha ama kuongeza yafuatayo: Uvimbe wa ubongo, Kifafa, Chronic fatigue syndrome, Multiple Sclerosis, Parkinson desease, Alzheimer's desease, kudumaa kwa ubongo, Lymphoma, Birth defects, Fibromygia na Kisukari.

Mtanisamehe mengi siyajui kwa kiswahili.
 
Wapige marufuku na uraji wa Nguruwe pia/ Kitimoto
Mkuu kitimoto, nyama ya ng'ombe na shellfish ni vyakula vyenye asidi ya juu kabisa pamoja na cheese, beer, karanga, unga sembe, tambi, kahawa n.k Inashauriwa kula zaidi vyakula vyenye alkali nyingi ili uepuke kuitwa mfu mtarajiwa kabla ya muda wake
 
Hongereni kwa kuzuia viroba ila tafadhali sana wakuu zuieni ma junk food haya,chips,burgers na makorokoro haya mtaani yanaleta afya mbovu kwa watanzania,yanaua nguvu kazi ya taifa
please waziri wa afya pigeniu marufuku ma chips mayai haya watu wale ugali na vyakula vya asili
Thank you sana.
kweli kabisa mkuu halafu mbaya zaidi junky foods are very tempting ni bora vyakula vya ajabu ajabu vipigwe marufuku kwa manufaa ya taifa na bila kusahau kwa manufaa ya ndoa pia
 
Vyakula vya Asili ni mizizi,Maboga,Matikiti maji,na Baadhi ya Matunda hapa tz maana mazao mengi yameletwa tu hapa kwetu so mleta mada acha ''mbashau'' isome kinyume nyume hiyo red.
 
Hongereni kwa kuzuia viroba ila tafadhali sana wakuu zuieni ma junk food haya,chips,burgers na makorokoro haya mtaani yanaleta afya mbovu kwa watanzania,yanaua nguvu kazi ya taifa
please waziri wa afya pigeniu marufuku ma chips mayai haya watu wale ugali na vyakula vya asili
Thank you sana.
Shukrani sana Mkuu ZE NDINDINDI kwa kuliona hili.

Una Malengo mema na Taifa lako ila sie kina Kabwela hatuwezi kukuelewa mapema.Barikiwa sana.
 
Vyakula vya Asili ni mizizi,Maboga,Matikiti maji,na Baadhi ya Matunda hapa tz maana mazao mengi yameletwa tu hapa kwetu so mleta mada acha ''mbashau'' isome kinyume nyume hiyo red.
Narrow Thinker!!

Tatizo Utumwa wa KIFIKRA ndio unaokuandama vibaya.Rudi shule.
 
Narrow Thinker!!

Tatizo Utumwa wa KIFIKRA ndio unaokuandama vibaya.Rudi shule.
Bora mimi nimeweka fikra zangu openly wewe zako hakuna azijuaye... yaani your useless fellow weka list ya vitu asili ya Tanzania mimi kwa uwezo wangu nimeweka so wewe kataa pinga kwa hoja and then wadau humu wapime na waone nani ni mtumwa wa wa fikra na arejee shule between me and you. hoja hujibiwa kwa hoja na sio kashfa... Ficha Upumbavu wako kama huna hoja.
 
Back
Top Bottom