haibakiHata kama inatoka lakini kuna ambayo itabaki mnyama akichinjwa.
Astaghafirullah.katika nayama na penda huku duniani.. kitimoto, maini firigisi uwiii unichomee sasa wewe nakupendaje
Hahaa.Acha maneno weka maini mezani.
Unasema maini yana sumu, una takwimu za watu walioathirika kiafya kwa kula maini? Au ni imani tu.Wadau mbona mimi naona kama kula maini ni kula uchafu na sumu kwasababu maini ndiyo chujio ya mwili wa mnyama yeyote lakini cha kushangaz watu wanakimbilia sana kuyala?
Nini special kwenye maini,ni kutokujua au watu wanajitoa ufahamu tu?
Asipoelewa na hapa basi tenaNgoja tukujibu kitaalam kidogo ...utakapojua kazi za ini ndo utajua vp utumie. Baadhi ya kazi za ini ni hizi.
1.Detoxification-yaani kubadilisha sumu kuwa harmless materials.
2.Storage functions-maini ni hifadhi ya vitu muhimu mwilini
a. Glycogen.. Hii ni starch ya wanyama (animal starch)
b. Vitamins
c. Iron
d. Blood
Kazi hii ya kuhifadhi inalifanya ini kuwa chanzo kizuri cha viini lishe na ndio maana upishi wake unatakiwa uwe kwa moto mdogo mdogo kwa sababu baadhi ya vitamins zinaharibika kwa moto mkali.
Ini pia lina kazi zingine lkn hizi mbili zinahusika zaidi na huu uzi.
Maini pia hupata sana maambukizi ya minyoo
Kwa hio maini ni chakula kizuri lakini kula kwa tahadhari ni muhimu
Acha maneno weka maini mezani.
Ohooooo!!!Astaghafirullah.