Wala mirungi wagundua mbinu mpya

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,500
1,377
Imeanzishwa tabia mpya ya kuvuka mpaka siku za Jmosi na kwenda kula mirungi nchi jirani na baadae kurudi nyumbani.
Wanaoorudi nyumbani huwa hawachukui hata mti mmoja wa mirungi.Je wakipimwa na wakakutikana na hicho kilevi ni kosa..????
 
Hataa cc tuliopo huku rombo kaplastic tunaenda kukapigiaa jiran afu tunarud tunayumba yumbaaa tuu
 
Pia kuna jamaa katoa wazo kwamba viroba vilivyokamatwa warudishiwe wenyewe kwa masharti wavipeleke nchi jirani kuviuza.....hii imekaaje..???
 
Aiseee,
Tanzania Yangu! Bado tunasafari ndefu kama hali ndiyo hiyo!:(
 
Aiseeee,

Tanzania yangu, bado tuna safari ndefu sana kama hali ndiyo hiyo!

Daaaaah!
:(
 
Back
Top Bottom