Maafa ya mvua na upepo Lindi

Maafa ya mvua na upepo Lindi

Balungi

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
234
Reaction score
162
Kumetokea maafa makubwa jana katika kata ya Mingoyo na Mnazimmoja iliyopo Manispaa ya Lindi kufuatia mvua kubwa iliyoambata na upepo mkali, kuezua nyumba takribani 157 na majengo ya shule pamoja na kusababisha majeruhi wengi katika janga hilo.

Mwenyezi Mungu awape nguvu katika jambo hili maana serikalii yetu inaweza kukusanya michango ikaenda kukarabati shule tu, rejea maafa ya Kagera.
 
Back
Top Bottom