raisi2020
Member
- Mar 4, 2016
- 82
- 83
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa, kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan, ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi, ili kila mtu anajua anavyotafsiri,
lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini, ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo, kila kukicha vyeti vyeti, mfukuze wewe basi kama una mamlaka, na pia serikali ina intelejensia kubwa kuliko ww, kama ni feki ama si feki mtajua tu